Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema kuwa kasi ya ujenzi wa reli nchini imekuwa ndogo akilinganisha na kipindi cha utawala wa Wajerumani.
Heche amesema kuwa katika kipindi cha miaka 19 na zaidi, Mjerumani aliweza kujenga njia za reli kutoka Dar es Salaam hadi maeneo mbalimbali ikiwemo Mwanza, Arusha na Tanga, huku akisema baada ya miaka 60 reli ya kisasa imefika Dodoma.
“Kwa miaka 60, reli imefika Dodoma pale na wanaimba utafikiri wamerogwa,” amesema Heche.