Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hata hawajui nini wanachotakaChadema wana unafiki mno
Ccm n wapuuzi ila chadema n wapuuzi zaidi.Hata hawajui nini wanachotaka
Mm Sio ccm wala sio chadema, ila chadema ni Wapumbavu kupitiliza.Wajinga nyie machadema,
Wakati sisi tunampambania hapa Magufuli si mlikuwa mnatutukana hapa kila siku.
Mbwa nyie.
Na je hayo mazuri kuna watu wana hatimiliki ya kuyasemea? Au mlitaka wamponde tuu na wasiongelee mazuri yake?Kila mtu ana dhambi zake, ila kwa JPM ana mazuri mengi.
Wananchi ndo wenye maamuzi ya kuitoa CCM. Mpaka leo unawategemea wanasiasa kuja kukuletea ukombozi,,hawa ambao wanahama hama vyama.Mm Sio ccm wala sio chadema, ila chadema ni Wapumbavu kupitiliza.
Yn hatuna chama kitakachowatoa hawa mafisadi ccm madarakani
Ukisema wananchi maana yake hayo n mapinduzi/vita, mm nazungumzia kuitoa ccm kisiasa kama ilivyo kikatiba.Wananchi ndo wenye maamuzi ya kuitoa CCM. Mpaka leo unawategemea wanasiasa kuja kukuletea ukombozi,,hawa ambao wanahama hama vyama.
Ni maamuzi ya wananchi siyo vyama,
Kwamba leo nimtukane weeeeeeeeeee, Afu kesho nimsifie?Na je hayo mazuri kuna watu wana hatimiliki ya kuyasemea? Au mlitaka wamponde tuu na wasiongelee mazuri yake?
Unafiki upi, Magufuli alipingwa kwa kutoheshimu demokrasia, alipoona hawezi kuheshimu demokrasia ndio akaja na lugha ya wapinzani kupinga kila kitu.Chadema wana unafiki mno