Utakuwa ni bonge la mjinga, unasema kila mtu ana dhambi zake, lakini dhambi zake zikisemwa hutaki. Hapo Heche kasema dhambi zake na hayo mazuri yake. Unataka nini zaidi ya hilo?Ccm n wapuuzi ila chadema n wapuuzi zaidi.
Yale yale ya 2015 kumsafisha lowassa.
Kila mtu ana dhambi zake, ila kwa JPM ana mazuri mengi.
Hamna unafiki kama Hitler, Amini, Kagame, JPM wote hao walikua tough kwenye uzembe na ufisadi lakini haibadili ukweli kuwa walikua madikteta na waliteka na kuumiza watu bila sababu.Chadema wana unafiki mno
Na ndio alichokifanya Heche kaongelea mabaya yake hasa kwenye siasa na kaongelea mazuri yake kwenye rasilimali na hapo alikua analinganisha marais wa CCM. Sielewi hapo unafiki uko wapiCcm n wapuuzi ila chadema n wapuuzi zaidi.
Yale yale ya 2015 kumsafisha lowassa.
Kila mtu ana dhambi zake, ila kwa JPM ana mazuri mengi.
Si kweli tumeshtakiwa au ni uongo? Mpaka sasa tumeshashindwa kenye zenye madai ya Billion 800!!Hiyo mikataba ya rasilimali si mlimpiga vita alipokuwa akizuia kwa kusema mtashtakiwa? Hakuna hata jema moja mlilopongeza kwake. Kukiri kipindi hichi ni unafiki wa kiwango cha SGR rail ya kuunganisha mabara
Usitake kuleta upotoshaji maana wala hukuwa unaelewa, aliambiwa hiyo mikataba ni halali japo ni ya wizi. Kuna namna ya kuvunja mikataba hiyo na sio kuivaa kichwakichwa maana tutadaiwa. Na kweli sio kampuni moja au mawili yalitudai. Msitake kutufanya hatujui ukweli katika hili.Hiyo mikataba ya rasilimali si mlimpiga vita alipokuwa akizuia kwa kusema mtashtakiwa? Hakuna hata jema moja mlilopongeza kwake. Kukiri kipindi hichi ni unafiki wa kiwango cha SGR rail ya kuunganisha mabara
Walimpinga kwa kusemaje, ama unadhani wote tulikwenda na upepo wa Magufuli bila kutumia akili zetu?Hv haya majitu yanataka nini na hayataki nini?
Si yalimpinga anko magu?
Yaliibua mara MIGA?
HAYA NI MAPUMBAVU KIWANGO CHA BAHARI (UJINGA WAO HAUNA MWISHO).
Mlitukanwa kwa kuambiwa nini? Ama unadhani tumesahau?Wajinga nyie machadema,
Wakati sisi tunampambania hapa Magufuli si mlikuwa mnatutukana hapa kila siku.
Mbwa nyie.
Ni kweli, tumeshtakiwa sio tu MIGA hadi ICC (commerce) na ICSID na tumeshatapishwa zaidi ya Billion 800.Hv haya majitu yanataka nini na hayataki nini?
Si yalimpinga anko magu?
Yaliibua mara MIGA?
HAYA NI MAPUMBAVU KIWANGO CHA BAHARI (UJINGA WAO HAUNA MWISHO).
Hata Magufuli alipopora uchaguzi wa 2020 watu wangeandama angewaua. Ni bahati tu watu hawakuwa na ujasiri kama wa juzi. Ni mara ngapi Magufuli alikuwa anatishia watu na kujaza jeshi ili liwaumize wananchi waliotaka kuandamana? Hatujasahau.Kasema ukweli kabisa.Magufuli alikuwa mchapakazi na siyo huyu wa sasa aliyejirithisha urithi kwa kumwaga damu za watanganyika.
Huo ndio ukweli ila alikuwa wa hovyo kwenye mambo ya demokrasia na diplomasiaChadema wana unafiki mno
Kama asingeminya upinzani trust me hata chadema isingesimamisha mgombea 2020 na mpaka leo angekua hai. Tatizo yeye badala ya kupambana na mafisadi yaliyojaa CCM akapambana na upinzani ambao haujawahi kula hela ya hazina.Wajinga nyie machadema,
Wakati sisi tunampambania hapa Magufuli si mlikuwa mnatutukana hapa kila siku.
Mbwa nyie.
Ni kweli, hata siasa za kutekana na kupora uchaguzi mzima JPM ndio muasisi. Kama ni maendeleo hata kagame, Idd Amin, Gadaffi walifanya maendeleo makubwa ya kiuchumi ila kilichowaharibia ni utawala wa kidilteka na mauaji.Hata Magufuli alipopora uchaguzi wa 2020 watu wangeandama angewaua. Ni bahati tu watu hawakuwa na ujasiri kama wa juzi. Ni mara ngapi Magufuli alikuwa anatishia watu na kujaza jeshi ili liwaumize wananchi waliotaka kuandamana? Hatujasahau.
Acheni kauli za jumla, mbona walimsifia alipokamata kina Seth wa IPTL, alipotenganisha wizara ya madini na nishati, alipozuia wezi wa Tanzanite, pia alipokataa mkataba wa bandari ya bagamoyo. Mbona mara kibao tu walimpongeza ila ukosoaji wa chadema ulikua kwenye kuminya demokrasia ambayo iliwaathiri chadema moja kwa moja.Kwamba leo nimtukane weeeeeeeeeee, Afu kesho nimsifie?
Sasa huo c unafiki
Magufuli alikuwa na haki ya kutukanwa sana. alitaka kuendesha nchi kwa kuiburuza kama familia yake. Na alichokuwa anafanya ni wajibu wake na sio hisani. Alipokosea alipewa ukweli uliomuuma, akawa anafichia uovu wake miradi ya serekali.Kwamba leo nimtukane weeeeeeeeeee, Afu kesho nimsifie?
Sasa huo c unafiki
Umemponda kwa lipi na ukamsifia kwa lipi?Kwamba leo nimtukane weeeeeeeeeee, Afu kesho nimsifie?
Sasa huo c unafiki