Wewe sema ukweli, ulimkataa JPM kabla hata hajaingia ofisini na aliteka ajenda zenu. Mlimpinga JPM kwa sababu ya wivu tuNdio nasema kwa mtazamo wako JPM yuko vizuri maana uliona mema yake ila wanachama wa chadema tuliona makali yake so tunaona upande wake mbaya. So kila mtu abaki na maoni yake ndio maana hata Mandela licha ya kupigania uhuru na kupendwa sana Afrika kusini ila takribani 40% ya wapiga kura walimkataa kwenye uchaguzi wa Urais.
Mimi mbona niko wazi sijawahi mkubali JPM na sitowahi mkubali hata baada ya samia kuja bado nilimpinga JPM. Nimeongelea kwa case ya Heche na chadema ila binafsi sijawahi mkubali kabisa kwa chochote.Wewe sema ukweli, ulimkataa JPM kabla hata hajaingia ofisini na aliteka ajenda zenu. Mlimpinga JPM kwa sababu ya wivu tu
Jitahidi katika majadiliano kuwa wazi na kutojiruhusu kumchambua usiyemkubaliMimi mbona niko wazi sijawahi mkubali JPM na sitowahi mkubali hata baada ya samia kuja bado nilimpinga JPM. Nimeongelea kwa case ya Heche na chadema ila binafsi sijawahi mkubali kabisa kwa chochote.
Kuhusu chadema kuwa na wivu inahusiana nini? Mbona alikua na mistakes nyingi tu mfano Ajira hakuwahi kuajiri kabisa hilo tu chadema wangetembelea nalo angeangushwa 2020!!
Agenda ya viwanda mbona ilimshinda aliitekaje? Ajenda ya kilimo pia ilimshinda aliitekaje? Issue ya machinga ilimshinda hadi akaamua futa vitambulisho. Issue ya kukopa nayo ilimshinda ikajaa madeni, pia Kulikua na Agenda ya uchumi kudorora na biashara nyingi zilikufa maana hakukua na pesa kwenye mzunguko wa sekta binafsi zote zilikua intergovernmental. Agenda zilikua nyingi sana labda kwa wewe darasa la saba
Unaona sasa, umeshindwa kupinga hoja yangu hata moja hapo. Mnapenda tu kusifia mambo ila tukienda kwenye details mnakimbia. Niambie hapa kwenye ajira alisaidia nini? Kumbuka CCM waliahidi ajira za moja kwa moja million 8 ile ilani ya 2015 je mpaka anatoka walitoa ajira ngapi kati ya hizo million 8? Pia alijenga viwanda vingapi?Jitahidi katika majadiliano kuwa wazi na kutojiruhusu kumchambua usiyemkubali
Sasa kama sizuiliwi kumsifia, ww una reply comments zangu ili iweje?Nani kukuzuia kumsifia, hiyo ni haki yako hakuna mwenye tatizo na hilo. Ila kudhani kuwa Heche ni mjinga kwamba kuweka record sawa ni kama anamsifia Magufuli, basi ujue kiwango chako cha uelewa ni kidogo.
Bc tulia na uendelee kusema hayo mabaya yake, mm nitaendelea kusema mazuri yake.Ndio nasema kwa mtazamo wako JPM yuko vizuri maana uliona mema yake ila wanachama wa chadema tuliona makali yake so tunaona upande wake mbaya. So kila mtu abaki na maoni yake ndio maana hata Mandela licha ya kupigania uhuru na kupendwa sana Afrika kusini ila takribani 40% ya wapiga kura walimkataa kwenye uchaguzi wa Urais.
Sina popote nilipokuzuia, nilikujibu uliposema cdm ni wajinga, kwa uelewa wako mdogo kuwa kauli ya Heche ilikuwa ni ya kumsifia Magufuli. Sina popote ninapokuzuia kumsifia Magufuli, hata ukitaka uende ukapewe nguo zake alizoacha, hiyo ni haki yako wala hainiumizi. Inshort msifie Magufuli kimpango wako lakini usipotoshe kauli ya Heche.Sasa kama sizuiliwi kumsifia, ww una reply comments zangu ili iweje?
Ww c uendelee kumponda kwa nafasi yako kama Mm navyomsifia.
Au unaumia Ukiona namsifia?