John Heche: Mashambulizi dhidi yangu ni kututoa kwenye mjadala wa Kifo cha Utata cha Dereva Wangu Suez

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
WA_1784225368837.jpeg

Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu.

Amesema ni mikakati imepangwa si bahati mbaya. Polisi ndo Waliopiga picha Maiti ya Suez, Sisi tulikatazwa wakidai wanaenda kufanya uchunguzi. Lakini picha maiti ya Suez tukazikuta Mitandaoni pamoja na Dawa kama Panadol nk. Halafu wakadai kakutwa na Dawa nyingi. Waliopost hizo picha ni zile Account zinazotukana watu.
Ndo tukajua kumbe hizi parody account zinazotutukkana ni za Mapolisi.

Amesema watu wameua 29 Oktoba 2025, vyombo vya habari haviwezi kuhoji.

Hivi vyombo vya habari haviwezi kuhoji Uuzwaji wa bandari kinyemela kwa DP World . Sheria inasema Mkataba wowote kabla ya kusainiwa upelekwe bungeni. Lakini DP World haukupelekwa bungeni kabla kusainiwa. Vyombo habali vipo kimya.

Pia soma, Kifo cha Dereva wa John Heche Polisi wamepata pa kuanzia, waanze na John Heche kufanya uchunguzi

Kasema Gesi ya Songo Songo imeuzwa kinyemela hakuna anayesema. Vyombo vya habari vipo kimya.

Watanzania wanatakiwa waviambie Vyombo vya habari kujadili mambo ya Msingi.

Vyombo vya habari vijikite kuongelea vitu vya msingi vya kuwaondolea umaskini wananchi sio kujadili stori za uzushi kuhusu watu zenye nia kutusahaulisha matatizo ya msingi ya Nchi yetu kama Katiba mpya na Free Tundu Lissu.

Tupo live TikTok

​
 
View attachment 3630559
Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu.

Amesme ni mikakati imepangwa si bahati mbaya.

Amesema watu wameua 29 Oktoba 2025, vyombo vya habari haviwezi kuhoji.

Hivi vyombo vya habari haviwezi kuhoji Uzwaji wa bandari kinyemela kwa DP World . Sheria inasema Mkataba wowote kabla ya kusainiwa upelekwe bungeni. Lakini DP World haukupelekwa bungeni kabla kusainiwa. Vyombo habali vipo kimya.

Na huo ndio ukweli wenyewe
 
Vyombo vya habari vijikite kuongelea vitu vya msingi vya kuwaondolea umaskini wananchi sio kujadili stori za uzushi kuhusu watu zenye nia kutusahaulisha matatizo ya msingi ya Nchi yetu kama Katiba mpya na Free Tundu Lissu.
UBAYA ni kwamba, Watanzania wengi mitandaoni wanapenda Story za Uzushi na Umbea kuliko vitu vya Msingi.

Sisiemu wanajua wingi uliokuwepo wa kundi la wajinga lililopo mtaani, na wanakomaa kulitumia hilohilo maana wajinga ni Jeshi kubwa.

But zama hizi idadi ya watu walioamka ni wengi hivyo bado sisiemu kazi wanayo, kuwatoa watu kwenye reli kwasasa sio rahisi kama wanavyofikiri.

Blame Society.
 
View attachment 3630559
Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu.

Amesme ni mikakati imepangwa si bahati mbaya.

Amesema watu wameua 29 Oktoba 2025, vyombo vya habari haviwezi kuhoji.

Hivi vyombo vya habari haviwezi kuhoji Uzwaji wa bandari kinyemela kwa DP World . Sheria inasema Mkataba wowote kabla ya kusainiwa upelekwe bungeni. Lakini DP World haukupelekwa bungeni kabla kusainiwa. Vyombo habali vipo kimya.

Kasema Gesi ya Songo Songo imeuzwa kinyemela hakuna anayesema. Vyombo vya habari vipo kimya.

Watanzania wanatakiwa waviambie Vyombo vya habari kujadili mambo ya Msingi.

Vyombo vya habari vijikite kuongelea vitu vya msingi vya kuwaondolea umaskini wananchi sio kujadili stori za uzushi kuhusu watu zenye nia kutusahaulisha matatizo ya msingi ya Nchi yetu kama Katiba mpya na Free Tundu Lissu.

Tupo live TikTok
yaani huyo muungwana amuue dereva wake mwenyewe kwa sumu halafu analeta porojo na siasa useless namna hiyo?

ama kwa hakika,
kufa kufaana. Hata aibu hana 🐒
 
Stronger together, tuendelee ku-focus na mambo muhimu kwa kuzidisha pressure kwa hawa maharamia.
 
Hii nchi imevurugika mpaka basi. Propagana na uchawa vimepewa nafasi kuliko masuala ya msingi.
Kusema kweli Watanganyika tumekula hasara kubwa sana , hadi 2030 akiondoka huyu Mzanzibari ndiyo wale wenye uwezo mdogo wa kuelewa wataelewa kuwa ilikuwa kosa kubwa kubwa kumpa Urais wa Tanganyika mtu ambaye siyo Mtanganyika, sasa hivi wengi wanaongozwa na ushabiki tu kama vile kushabikia Arsenal au ManCity hawajali uhalisia wa mambo.Nchi inatawaliwa kiboya sana.
 
Na ni kwa sababu wanalamba asali. Siku wakianza kupigika kama Mataga wa Jiwe, utawashangaa na wenyewe watakavyo lia na kusaga meno.
 
Back
Top Bottom