figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Na huo ndio ukweli wenyeweView attachment 3630559
Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu.
Amesme ni mikakati imepangwa si bahati mbaya.
Amesema watu wameua 29 Oktoba 2025, vyombo vya habari haviwezi kuhoji.
Hivi vyombo vya habari haviwezi kuhoji Uzwaji wa bandari kinyemela kwa DP World . Sheria inasema Mkataba wowote kabla ya kusainiwa upelekwe bungeni. Lakini DP World haukupelekwa bungeni kabla kusainiwa. Vyombo habali vipo kimya.
Kasema Gesi ya Songo Songo imeuzwa kinyemela hakuna anayesema. Vyombo vya habari vipo kimya.
Watanzania wanatakiwa waviambie Vyombo vya habari kujadili mambo ya Msingi.
Vyombo vya habari vijikite kuongelea vitu vya msingi vya kuwaondolea umaskini wananchi sio kujadili stori za uzushi kuhusu watu zenye nia kutusahaulisha matatizo ya msingi ya Nchi yetu kama Katiba mpya na Free Tundu Lissu.
Tupo live TikTok
UBAYA ni kwamba, Watanzania wengi mitandaoni wanapenda Story za Uzushi na Umbea kuliko vitu vya Msingi.Vyombo vya habari vijikite kuongelea vitu vya msingi vya kuwaondolea umaskini wananchi sio kujadili stori za uzushi kuhusu watu zenye nia kutusahaulisha matatizo ya msingi ya Nchi yetu kama Katiba mpya na Free Tundu Lissu.
yaani huyo muungwana amuue dereva wake mwenyewe kwa sumu halafu analeta porojo na siasa useless namna hiyo?View attachment 3630559
Heche amesema kwamba hao wanaosemasema, ni kutaka kufifisha mjadala wa kifo cha dereva wake Suez Daniel Maradufu.
Amesme ni mikakati imepangwa si bahati mbaya.
Amesema watu wameua 29 Oktoba 2025, vyombo vya habari haviwezi kuhoji.
Hivi vyombo vya habari haviwezi kuhoji Uzwaji wa bandari kinyemela kwa DP World . Sheria inasema Mkataba wowote kabla ya kusainiwa upelekwe bungeni. Lakini DP World haukupelekwa bungeni kabla kusainiwa. Vyombo habali vipo kimya.
Kasema Gesi ya Songo Songo imeuzwa kinyemela hakuna anayesema. Vyombo vya habari vipo kimya.
Watanzania wanatakiwa waviambie Vyombo vya habari kujadili mambo ya Msingi.
Vyombo vya habari vijikite kuongelea vitu vya msingi vya kuwaondolea umaskini wananchi sio kujadili stori za uzushi kuhusu watu zenye nia kutusahaulisha matatizo ya msingi ya Nchi yetu kama Katiba mpya na Free Tundu Lissu.
Tupo live TikTok
Niaa tupu wakitishiwa kunyimwa matangazo basi wanafuata masharti yaoTanzania haina free press kwa sasa. Substantially all traditional news houses have turned into state propaganda outlets!
CCM wanaona mapichapicha..Heche kanyagia hapo hapo hadi uwatie mimba maccm wote
Kama migambo...yanaruka na kukanyagana...moja wala mbili haikaiCCM wanaona mapichapicha..
Kusema kweli Watanganyika tumekula hasara kubwa sana , hadi 2030 akiondoka huyu Mzanzibari ndiyo wale wenye uwezo mdogo wa kuelewa wataelewa kuwa ilikuwa kosa kubwa kubwa kumpa Urais wa Tanganyika mtu ambaye siyo Mtanganyika, sasa hivi wengi wanaongozwa na ushabiki tu kama vile kushabikia Arsenal au ManCity hawajali uhalisia wa mambo.Nchi inatawaliwa kiboya sana.Hii nchi imevurugika mpaka basi. Propagana na uchawa vimepewa nafasi kuliko masuala ya msingi.
Sana. Miaka 10 ni mingiKusema kweli Watanganyika tumekula hasara kubwa
Na ni kwa sababu wanalamba asali. Siku wakianza kupigika kama Mataga wa Jiwe, utawashangaa na wenyewe watakavyo lia na kusaga meno.Kusema kweli Watanganyika tumekula hasara kubwa sana , hadi 2030 akiondoka huyu Mzanzibari ndiyo wale wenye uwezo mdogo wa kuelewa wataelewa kuwa ilikuwa kosa kubwa kubwa kumpa Urais wa Tanganyika mtu ambaye siyo Mtanganyika, sasa hivi wengi wanaongozwa na ushabiki tu kama vile kushabikia Arsenal au ManCity hawajali uhalisia wa mambo.Nchi inatawaliwa kiboya sana.