Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Na watu wake wote wanojitoa kwa ajili ya chama na watanzania wapenda amani na hakiMungu ibariki Chadema
Huyu Kibatala na Kundi Lake Mungu anawaona."Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu.. ikiwemo kuripoti central police Dar Kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar... pia mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala."
John Heche Suguta
Yaani akipatikana kiongozi kichaa nchi inauguaNchi ichukue hatua za kutafuta Katiba mpya,ni hatari sana nchi kuongozwa kwa kutegemea utashi wa kiongozi wa ikulu,kwa mantiki hiyo hapa Bongo Rais yuko juu ya sheria
Wamepukutika sanaHakuna binadamu yoyote yule atakayejaribu kuihujumu Chadema na akabaki salama.
Kibatala ni mtu mmoja na nusu.Huyu Kibatala na Kundi Lake Mungu anawaona.
Sisi hatukujua kabisa.Mungu Aliona Hayo Kabla Yetu
AminaNa watu wake wote wanojitoa kwa ajili ya chama na watanzania wapenda amani na haki
Kazi za akina kibatala ni sawa na za kina Lissu. Thawabu aliyompa Lissu kutokana na kutetea wanyonge tumeiona.Kibatala ni mtu mmoja na nusu.
Mungu Baba wa Mbinguni mbariki sana Kibatala na wanasheria wenzake wote wanaopigania haki.
Hatukujua MkuuSisi hatukujua kabisa.
Eti yule mtesi kaoza na kusahaulika
Tutajie wakili mmoja aliye wakataa, hiyo ni unethical kabisa, lete jina hata inbox tupelekee advocates comitee."Watu wengi hawajui kwamba kwenye hii kesi tulipewa masharti mengi magumu bila sababu ikiwemo kuripoti central police Dar kila ijumaa. Yaani popote utakapokua hakikisha ijumaa uko Dar pia mawakili waliogopa kututetea isipokuwa wachache wakiongozwa na Kibatala."
John Heche Suguta