Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tutashitakiwa MIGAHii ni taarifa iliyotufikia hivi punde , kwamba Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Serengeti amepigwa sana na Polisi alipofika kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi jimboni humo
Taarifa zaidi zitawajia punde .......
Chadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
Msiwapige kuwakomoa ili wasipate la kuongeaChadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.
Washaona hawatopata kura hivyo wanalianzisha mdogo mdogo
Waliona njia muafaka ya kubadilishiwa ratiba ni kuitisha maandamano kwenda kwa mkurugenzi!Chadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.
Washaona hawatopata kura hivyo wanalianzisha mdogo mdogo
Hii ni taarifa iliyotufikia hivi punde , kwamba Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Serengeti amepigwa sana na Polisi alipofika kwenye ofisi ya msimamizi wa uchaguzi jimboni humo
Taarifa zaidi zitawajia punde .......
So ccm sio wananchi wa tanzania?CCM wanatakiwa kujua hii Nchi si Mali yao ni Mali ya Wananchi wa Tanzania
Acha kutaka 'Kuwaponza' Wenzako nendeni taratibu kwani bado 'tunawapenda' sana tu. Ngoja 'usithibitishiwe' kwani hata Heche nae kaambiwa tu.Uvumilivu ufike mwisho sasa,iwe jino kwa jino
CCM ni taasisi ya ukandamizaji na wakili wetu Robert Amsterdam wanasema wameanza kuiorodhodhesha CCM katika orodha ya Vikundi cha kigaidiSo ccm sio wananchi wa tanzania?
OCD wa hapo serengeti anaingia kwenye list ya Polisiccm watakaofikishwa ICC mara baada ya uchaguzi mkuuHeche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter:
Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo. Hali ya mh Cathy sio nzuri.
Huo upumbavu wenu ndiyo umedumaza maendeleo Nchi hii miaka 59 haina maendeleo mmekalia kupiga watu mabomu marungu risasi badala ya maendeleoWapigwe tu hawa wanajifanya vichaa kumbe kuna vichaa zaidi yao. Watolewe manundu tu.