Uchaguzi 2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

Chadema kama kawaida yao, wanaanzisha fujo na wakidhibitiwa wanaanza ngonjera zao.

Washaona hawatopata kura hivyo wanalianzisha mdogo mdogo
Kweli wewe ni tasa wa akili!
Umesoma sababu? Umeelewa?
tatizo una kawaida ya kukurupuka kama uharo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…