Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Feb 27, 2025 #1 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa. Your browser is not able to display this video.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa. Your browser is not able to display this video.
World light JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 382 Reaction score 352 Feb 27, 2025 #2 Labda hapo Katikati alipata shida ya kiafya
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,191 Reaction score 8,490 Feb 27, 2025 #3 Jpm alikuwa na upumbavu mwingi sana yule jamaa. Huu uchawa ulionea Tanzania nzima kwa kiasi kikubwa yeye ndiye aliyeukuza.
Jpm alikuwa na upumbavu mwingi sana yule jamaa. Huu uchawa ulionea Tanzania nzima kwa kiasi kikubwa yeye ndiye aliyeukuza.
Gamic JF-Expert Member Joined Jun 24, 2021 Posts 1,156 Reaction score 2,271 Feb 27, 2025 #4 Hoja za John Heche zinagongelea misumari ya moto kwenye jeneza la ma-ccm.