Pre GE2025 John Heche: Mtu mwenye degree 2 aliambiwa hajui kusoma na kuandika, akapitishwa mgombea wa CCM wa elimu ya darasa la 7

Pre GE2025 John Heche: Mtu mwenye degree 2 aliambiwa hajui kusoma na kuandika, akapitishwa mgombea wa CCM wa elimu ya darasa la 7

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa.

 
Jpm alikuwa na upumbavu mwingi sana yule jamaa. Huu uchawa ulionea Tanzania nzima kwa kiasi kikubwa yeye ndiye aliyeukuza.
 
Hoja za John Heche zinagongelea misumari ya moto kwenye jeneza la ma-ccm.
 
Back
Top Bottom