John Heche mubashara ndani ya star TV

John Heche mubashara ndani ya star TV

Hana lolote ajiandae kutafuta kazi ya kufanya 2020 harudi bungeni


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu huku nchini inaonekana kazi ya maana kwako ni ubunge tu. Ni kweli anaweza asirudi bungeni kwanza kwa sababu unaposhindana kuna kushinda na kushindwa. Pili anaweza asirudi iwapo atagombea ubunge kwa sababu sasa hivi kuna siasa za kishenzi hapa nchini.
 
Back
Top Bottom