Mbona wewe hujachaguliwa au ndio vilaza wenyewe maana inaonekana kila uzi upo au ajira ni JF
Matusi ya nini? Umeniudhi sana. Futa hiyo comment yako
Kwani walikuwa wanapigana mieleka?Yaani anatia aibu mwanamke kumbwaga
Wewe ni aina hii, unahajagani kumsikiliza Heche wakati mungu wako unaye?Hata cwezi kupoteza mda wangu namwangalia heche
Kama Bashite