PostGE2025 John Heche: Mwambie Samia, Heche yuko tayari kwa mdahalo na wewe, ndio level zangu, siyo Kihongosi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa mnamo Juni 17, 2026, Heche amekataa katakata kufanya mdahalo na Msemaji au viongozi wa ngazi za chini wa chama tawala, akisisitiza kuwa nafasi yake ya uongozi wa juu ndani ya chama kikuu cha upinzani inampa hadhi ya kuchuana na Mwenyekiti wa CCM pekee na sio "watoto wadogo" kisiasa.

Heche ameeleza kuwa lengo la kutaka mdahalo na Rais Samia ni kuhoji uhalali wa uongozi wake pamoja na maamuzi makubwa ya kiuchumi yanayoligharimu taifa. Mwanasiasa huyo amebainisha kuwa angependa kumhoji kiongozi huyo mkuu wa nchi kuhusu misingi ya uchaguzi uliomweka madarakani, pamoja na sababu zilizosababisha serikali yake kuikabidhi nchi ya Dubai—yenye idadi ndogo ya watu—mkataba wa kuendesha bandari za Tanzania, huku taifa likiwa na rasilimali nyingi na idadi ya watu inayokadiriwa kufikia milioni 65 lakini bado wanakabiliwa na njaa kali.

Soma: Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja

"Inakuwaje unaongoza nchi ambayo haiwezi kutengeneza njiti ya kutolea nyama kwenye meno? Sasa yule mtoto mimi nitaongea naye atanijibu nini vitu hivi?"
— John Heche

Kumekucha....
 
Sasa kweli Samia ndiyo wa kuongea na mvuta bangi wa Tarime? Loh !! Saizi ya Heche ni akina Sugu na Lema wavuta bangi wenzie
 
Sasa kweli Samia ndiyo wa kukngea na mvuta bangi wa Tarime? Loh !! Saizi ya Heche ni akina Sugu ma Lema wavuta bangi wenzie
Umeelewa alichosema Heche lakini mkuu?

Ukianza kuongelea vya uvutaji bangi utaharibu mkuu, huku kwetu kwa kijani nako wamejaa wapo wengi tu
 
Hizi media kubwa zimepomka Heche airtime zijui hatima yake ni nini?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa mnamo Juni 17, 2026, Heche amekataa katakata kufanya mdahalo na Msemaji au viongozi wa ngazi za chini wa chama tawala, akisisitiza kuwa nafasi yake ya uongozi wa juu ndani ya chama kikuu cha upinzani inampa hadhi ya kuchuana na Mwenyekiti wa CCM pekee na sio "watoto wadogo" kisiasa.

Heche ameeleza kuwa lengo la kutaka mdahalo na Rais Samia ni kuhoji uhalali wa uongozi wake pamoja na maamuzi makubwa ya kiuchumi yanayoligharimu taifa. Mwanasiasa huyo amebainisha kuwa angependa kumhoji kiongozi huyo mkuu wa nchi kuhusu misingi ya uchaguzi uliomweka madarakani, pamoja na sababu zilizosababisha serikali yake kuikabidhi nchi ya Dubai—yenye idadi ndogo ya watu—mkataba wa kuendesha bandari za Tanzania, huku taifa likiwa na rasilimali nyingi na idadi ya watu inayokadiriwa kufikia milioni 65 lakini bado wanakabiliwa na njaa kali.

Soma: Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja

"Inakuwaje unaongoza nchi ambayo haiwezi kutengeneza njiti ya kutolea nyama kwenye meno? Sasa yule mtoto mimi nitaongea naye atanijibu nini vitu hivi?"
— John Heche

Ila Mh Kihonhosi bwana
 
Sijaelewa, ina maana Heche anakubali Samia ndo kichwa zaidi huko CCM?
 
Wazungu wanasema ukishindana na kikaragosi kitakuteremsha kwa level yake kisha kikushinde kwa experience.
 
Heche naye aache kujidhalilisha. Hata huyo aliyemtaja hana uwezo wa kushindana naye kwenye mdahalo wa aina yoyote ile.
Hakuna mtu CCM mwenye uwezo wa kushindana na mwana CHADEMA kwa hoja. Viongozi wa CHDEM wasipoteze muda
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa mnamo Juni 17, 2026, Heche amekataa katakata kufanya mdahalo na Msemaji au viongozi wa ngazi za chini wa chama tawala, akisisitiza kuwa nafasi yake ya uongozi wa juu ndani ya chama kikuu cha upinzani inampa hadhi ya kuchuana na Mwenyekiti wa CCM pekee na sio "watoto wadogo" kisiasa.

Heche ameeleza kuwa lengo la kutaka mdahalo na Rais Samia ni kuhoji uhalali wa uongozi wake pamoja na maamuzi makubwa ya kiuchumi yanayoligharimu taifa. Mwanasiasa huyo amebainisha kuwa angependa kumhoji kiongozi huyo mkuu wa nchi kuhusu misingi ya uchaguzi uliomweka madarakani, pamoja na sababu zilizosababisha serikali yake kuikabidhi nchi ya Dubai—yenye idadi ndogo ya watu—mkataba wa kuendesha bandari za Tanzania, huku taifa likiwa na rasilimali nyingi na idadi ya watu inayokadiriwa kufikia milioni 65 lakini bado wanakabiliwa na njaa kali.

Soma: Heche: Kenani Kihongosi anaweza kufanya mdahalo na watoto wa shule ya Msingi na CHASO. Hawezi kujibu hoja

"Inakuwaje unaongoza nchi ambayo haiwezi kutengeneza njiti ya kutolea nyama kwenye meno? Sasa yule mtoto mimi nitaongea naye atanijibu nini vitu hivi?"
— John Heche

Huyu Kihongosi ni punda asiyejua anachokifanya. Ni mjinga asiye na mwelekeo, muuaji na asiye na adabu.
 
Back
Top Bottom