Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subirini mtaona shutuma lukuki hapa, kuna mtu namsubiri hapa.[/QUOT
Kushutumu si hoja, hoja ni kama shutuma hizo ni kweli au za kutunga
Mkuu hujajibu hoja ya mkandara kabisaaaa umejikanyaga kanyaga tuuuu
Hata hivyo wito wangu kwa Mtema awe makini na mitandao ya kijamii kama hii, hapa si mahala pa kukurupuka na kuanza kuweka comments zaako za ajabu ajabu, ashukuru mods walimuokoa maana alisha chemka mbaya,
Iga mfano wa wenzako akina kitila mkumbo, zitto huwezi kuta wanakuja na hoja dhaifu dhaifu hapa
..wala hatuko hapa kuiga namna ya vile mtu mwingine anasema! waige wewe vile unapenda kuiga iga, but mtu yuko huru kusema anachoona ni sawa bila kutukana mwingine yeyote! hoja hapa ni contents ya kile kinachotamkwa kwa nini kinamkera mtu mwingine! hivi mtu akitaja Yesu au hata shetani does it mean amekuabudisha anachoamini..? kwa nini inakukera..?
Mh Mtema yuko makini! uwe makini wewe unayeokota maneno kwa kutoa tafsiri yako huku ukitaka kusemea wengine! na kama ni hoja dhaifu wewe inakukera nini sasa..!
Mwache Mh ataje jina la yeyote anayemuamini ni msaada kwake! nawewe taja tu ukitaka hata hayo majini yanayokulinda! hakuna tatizo haya ni mambo binafsi!
Wewe ni mgumu kuelewa! Kurudia point hiyo hiyo mara nyingi hakuifanyi hiyo point kuwa strong!
Alichokutahadharisha Mkandara ni kuwa, Chama cha siasa ni mkusanyiko wa watu wenye dini mbalimbali kama ilivyo nchi.
Kuinasibisha chama ni "mungu" fulani kama Yesu au imani fulani, unawakera wale wasiokuwa wa imani ile ndani ya chama!.
Kumbuka Regia ni Mbunge, hivyo kauli yake inaweza kuchukuliwa kama ndio msimamo wa chama. Unadhani ukisema chadema inalindwa na Yesu Prof. Safari anajisikiaje? Kumbuka kusema Yesu ni "mungu" ni kufutu kwa Prof. Safari>
Viongozi wanaweza wakawa na imani zao zozote zile lakini wasi-link hizo imani na chama!
Kwa kauli zako hizi unawasaidia wale wanaosema Chadema ni chama cha kikristo!

Mbona Heche huyohuyo ndio analalamikiwa na wana CHADEMA kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kulipoteza jimbo la Tarime kwa CCM,na wengine wanadiriki kusema kwamba kuchaguliwa kwake kutapelekea jimbo la Tarime liendelee kushikiliwa na CCM mwaka 2015?.....
Wape hongera wajumbe wa BAVICHA walioshiriki na kufanya uchaguzi badala ya hao wazee wa CHADEMA na Viongozi wa CHADEMA,kuwapa hongera hao wazee na viongozi kutawafanya baadhi ya watu wahisi kwamba John Heche kachaguliwa na wazee wa CHADEMA na viongozi wa CHADEMA kitu ambacho si kweli...
Mwisho naomba kumpongeza sana John Heche kwa kuchaguliwa,cha msingi apewe tu ushirikiano,ni kiongozi mzuri sana huyu.
Glory and honour be unto our God almighty!
Mimi huyo Heche hata sura siifahamu na wala sijawahi bahatika kusoma post yake hata moja hapa JF kwa jina lake. Lakini as a preacher nataka kuwaambia kwamba wakati mwingine tuelewe kuwa if the favour of God is not on your side there is nothing you can do to get whatver you want to. Utashangaa unaweza kuwa na uwezo; unapendwa na una kila sababu ya kupata nafasi lakini mazingira yanakataa. Mine choice was Ben Saanane nimekuwa nikifuatilia sana post zake hapa JF na kwakweli nilitokea kumkubali kwani alionyesha kwangu anaweza akawa kiongozi. Wagombea wengine siwafahamu kabisa na pengine wako hapo kwa ID za tofauti so let us agree kuwa '...maandalizi ya moyo ni kazi ya mwanadamu lakini jawabu la toka kwa Mungu....'
Wagombea wote please mpeni ushirikiano Heche kwani as a Prince and an evangelist nawausia kuwa his time has come na Mungu ameruhusu yeye kuwa mwenyekiti. Mkimpa ushirikiano you are humbling yourself into Godly decision na pengine kwenu ninyi this is your training (in christianity we call 'safari ya jangwani kuelekea nchi ya ahadi; Your destiny') time to go to other levels.
The way God works is whoever humbles him/herself the order is s/he should be exaulted. Mkienda against some of you are going to delay your success! This is my wor to you as a preacher and a prince; ukitaka you can take my words ukiona ni upuuzi yenyewe yatabaki yenye nguvu na mwisho wa siku penda usipenda utayakuta yanakusubiri kuku kumbusha that I once adviced you! Best wishes to all contenders....Prince Ame in the Kingdom of Heaven!