John Heche nakusihi itisha maandamano Tanzania na Duniani kote ili Tundu Lissu aachiwe

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwanza maandamano ni haki ya kikatiba hapa nchini. Hii ni kwa mujibu wa ibara ya 20 ya katiba ya JMT

Dunia nzima ilipambana kwa njia ya maandamano ili Mandela afunguliwe.

Najua Watawala wote dhalimu huwa wanaogopa maandamano.

 
aitishe maandamani au vurugu gentleman?

maana heche ni mtu wa fujo sidhani kama atakua na haja na maandamani. Na ikiwa hivyo basi itakua ni unafiki tu, bangi za heche hupelekea kutamani zaidi ghasia, uharibifu na maafa πŸ’
 
Naona wameshamuandalia Heche hati ya mashtaka kwa kosa la uhaini, tena mpaka na wengine atakaounganishwa nao wapo wanne.

Najiuliza hao waliounganishwa hata wana habari na huo "uhaini" wanaopewa na Kingai?

Huu ukatili wa kutesa wana wa watu makusudi lazima ukomeshwe sasa.
 
aitishe maandamani au vurugu gentleman?

maana heche ni mtu wa fujo sidhani kama atakua na haja na maandamani. Na ikiwa hivyo basi itakua ni unafiki tu, bangi za heche hupelekea kutamani zaidi ghasia, uharibifu na maafa πŸ’
Dont be stupid
 
Nimesoma mwanzo Hadi mwisho sijaona sehemu uliyosema wewe utakuwa mbeeeele huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…