John Heche ni mwanasiasa mwenye uwezo wa kuelewesha wananchi na Anaeleweka kirahisi

John Heche ni mwanasiasa mwenye uwezo wa kuelewesha wananchi na Anaeleweka kirahisi

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
11,784
Reaction score
22,106
Nimefuatilia sana mikutano ya Ndugu John Heche ( Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa) haya ndiyo niliyoyabaini:-

1. Ndiye mwanasiasa pekee bora kwa sasa mwenye ushawishi wa hoja zote anazosimamia.

2. Ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa wa kuelewesha wananchi ambao wengi uelewa ni mdogo na wakaelewa. HECHE ameibua nguvu kubwa ya uungwaji mkono toka kwa wananchi.

3. Ni mtu anayejikita kwenye hoja za pamoja kuliko shida zake bonafsi.

4. Anajiamini kwa kile anachokisimamia.

Hoja zote za CHADEMA zina kusudi jema na Taifa letu🇹🇿.
Tusimame na CHADEMA.
#NoReformsNoElection#
 
Attachments

  • images-1.jpg
    images-1.jpg
    7.6 KB · Views: 29
Heche hana budi kuwa makini sana maana wanawindwa ile yenyewe ulimi ukikosea kidogo tu unatengenezewa zengwe.
 
Kasa kubwa ni kutengeneza mfumo wenye ku favor wenye Dola pekee na sio kusimamia hoja za pamoja kama taifa!!

Hakuna hoja za kitaifa zinazotukutanisha pamoja kama taifa Bali Kila hoja wanaangalia uchama kwanza!!
 
Nimefuatilia sana mikutano ya Ndugu John Heche ( Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa) haya ndiyo niliyoyabaini:-

1. Ndiye mwanasiasa pekee bora kwa sasa mwenye ushawishi wa hoja zote anazosimamia.

2. Ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa wa kuelewesha wananchi ambao wengi uelewa ni mdogo na wakaelewa. HECHE ameibua nguvu kubwa ya uungwaji mkono toka kwa wananchi.

3. Ni mtu anayejikita kwenye hoja za pamoja kuliko shida zake bonafsi.

4. Anajiamini kwa kile anachokisimamia.

Hoja zote za CHADEMA zina kusudi jema na Taifa letu🇹🇿.
Tusimame na CHADEMA.
#NoReformsNoElection#
Naunga mkono hoja yupo zaidi kitaifa. Hoja zake ni za msingi, za Kimagufuli.

Message yake ni ya JPM, tusimamie rasilimali zetu, sisi ni Taifa tajiri sana ila tuna viongozi wabovu sana. Tuwatea tupate maendeleo. Kwenye chama tawala au upinzani.
 
Hoja zinazojikita kwenye utaifa, Raslimali za nchi, ubadhirifu, ukora,utekaji na uporaji haki za wananchi na uchaguzi huru na haki ni hoja mtambuka zinazombeba HECHE. Hakuna kingine.
 
John Heche ni mwanasiasa wa hovyo. Wanasiasa makini hawashambulii kundi muhimu la wapiga kura ambao ni wanawake. Heche aliamuru baunsa wake ampige katibu mwenezi mwanamke. Majuzi hapa kamshambulia mwanamama Suzan Kiwanga kwa kauli za hovyo mno. Heche anakiharibia zaidi CHADEMA badala ya kukisaidia.
 
Chawa hukaa pachafu. We mchafu na hujatahiriwa kisiasa. 🚮

Ipo siku mtalipa haya myafanyayo kwa kujitoa ufahamu.
 
Heche anagusa mambo yanayomhusu mwananchi moja kwa moja ndiyo maana anaeleweka vizuri sana.

Siku Lissu akijiadjust akaweza kubalance hoja za kisheria, haki, utawala bora (vitu ambavyo anavimudu sana) NA mambo ya uchumi kama vile kilimo, biashara, ajira za watu, rasilimali za nchi na matarajio ya vijana Ushawishi wake utakuwa maradufu.
 
Hakika mkuu
 
Si vema sana kushiriki uchaguzi ambao msimamizi Mkuu wa uchaguzi anateuliwa na mgombea nafasi wa chama kimoja wapo kinacho shiriki uchaguzi. Ni ujinga ,sana .. Wanasifu kila siku anakubalika tantarira kibao , , wanasema Wana wanachama waliosajiliwa zaidi ya milioni 10 ,sawa kwanini tume huru ya uchaguzi hawaitaki kama kweli wanajiamini wanakubalika Wana wanachama milioni 10 na zaidi ?
 
Back
Top Bottom