John Heche, sasa unaweza kutembea juu ya maji mengi kama Petro, Usiogope

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam,

Killa KITABU na nyakati zake,

Hizi ni nyakati zako sahihi John Heche, huu ni wakati wa maji kugeuka cement na kuubeba mwili wako Kisha utem EE juu yake.

Maji ni watu, watu waeza kukubeba illi ukivushe chama,sauti za kelele kwamba hayo ni maji tu utazamaaa,wengine upepo mkali unakuja, wengine umesahau koti, wengine dhoruba yaja, zote ni kelele za kukutoa kwenye lengo uache kumalizia kazi kubwa uliyoanza.

Nikukumbushe kuwa, wananchi wako juu ya Sheria zote za nchi na katiba.

Tukisimama na hao, hayupo wa kufuta chama ndani ya mioyo ya watu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

No Reforms no Election 💪 🔥
 
Kweli imethibitika34
 
Ukombozi sio lelemama, baadhi wenye mamlaka wanafahamu, Heche kaza.

ukiangalia na kufanya tathmini utagundua kwamba wenye mamlaka wanaogopa sana kelele za nguvu ya UMMA.

Heche shikilia hapo hapo, wakati huu ndiyo wakati sahihi wa kujua watu thabiti wa kutembea nao au kuachana nao, Angalia wengi mliokuwa nao wakijinasibu adharani kuwa wanatetea WANANCHI, lakini leo wamewasaliti mchana kweupe! Wengine wameshiriki na watesi kuwafungulia kesi lakini hao hao ndiyo mlikuwa mnapanga nao mikakati ya ukombozi chumbani pamoja!

Nyerere kupata uhuru wa nchi hii aliposhindwa ndani alishirikiana na hao hao mabeberu, hata alipotaka kupinduliwa alirudi kwa mabeberu kuwaomba msaada dhidi ya WATANGANYIKA WENZAKE!
Msione haya kuomba msaada hata kwa mabeberu dhidi ya WAKOLONI WEUSI, WADHALIMU WANAOUA WATANZANIA WENZETU.
 
Salaam,

Killa KITABU na nyakati zake,

Hizi ni nyakati zako sahihi John Heche, huu ni wakati wa maji kugeuka cement na kuubeba mwili wako Kisha utem EE juu yake.

Maji ni watu, watu waeza kukubeba illi ukivushe chama,sauti za kelele kwamba hayo ni maji tu utazamaaa,wengine upepo mkali unakuja, wengine umesahau koti, wengine dhoruba yaja, zote ni kelele za kukutoa kwenye lengo uache kumalizia kazi kubwa uliyoanza.

Nikukumbushe kuwa, wananchi wako juu ya Sheria zote za nchi na katiba.

Tukisimama na hao, hayupo wa kufuta chama ndani ya mioyo ya watu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

No Reforms no Election 💪 🔥
Hakika huu ndio muda wa kifika kanani
 
ufala wa kifikra, ramli na imani potofu za ushirikiana ni umaskini wa kilofa sana gentleman 🐒
 
Salaam,

Killa KITABU na nyakati zake,

Hizi ni nyakati zako sahihi John Heche, huu ni wakati wa maji kugeuka cement na kuubeba mwili wako Kisha utem EE juu yake.

Maji ni watu, watu waeza kukubeba illi ukivushe chama,sauti za kelele kwamba hayo ni maji tu utazamaaa,wengine upepo mkali unakuja, wengine umesahau koti, wengine dhoruba yaja, zote ni kelele za kukutoa kwenye lengo uache kumalizia kazi kubwa uliyoanza.

Nikukumbushe kuwa, wananchi wako juu ya Sheria zote za nchi na katiba.

Tukisimama na hao, hayupo wa kufuta chama ndani ya mioyo ya watu.

Mungu ibariki nchi YANGU nzuri niipendayo Tanzania 🇹🇿

No Reforms no Election 💪 🔥
e7350b46-a77a-4779-ae44-99f3dd9ead44_0_watermark.jpeg
 
ANAANDIKA Askofu Bagonza PhD

DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA

Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira. Siku moja nusura nizichape na rafiki yangu Mwislamu. Akaniuliza; nyie Wakristo mnasema Yesu alikufa na kufufuka siku ya tatu? Nikajibu ndiyo. Akaongeza, “na mnasema Yesu ni Mungu kweli? Nikasema ndiyo. Akamalizia, “kwa hiyo Mungu wenu alikufa na dunia ikabaki bila Mungu kwa siku mbili?

Hasira zangu zikapanda. Mjadala ukaisha.
Ukweli ni kuwa, Dunia ilikuwepo, Ukristo ulikuwepo na Mungu alikuwepo. Mungu wetu ana nguvu hata kifoni. Natafakari:

1. Sasa tuna wapinzani wasio na chama. Hawa ni fursa au tumekunywa uji wa mgonjwa? Bora ukose nguvu lakini upate akili.

2. Wabunge, madiwani, wenyeviti wa vijiji na mitaa wa chama kilichopelekwa likizo bila malipo, wana uhalali wa kufanya kazi?

3. Polisi, madaktari, madreva, wahudumu wa mortuary na wapishi wa viongozi wenye itikadi ya upinzani moyoni, waende likizo pia? Mnafikiri hawapo? Mnanibishia? Kuna Mserikali mmoja kaniambia mkewe alihama chumba aliposikia kanisa la Ufufuo limefungiwa kufufua! Upinzani tunao mpaka bedroom.

4. Kwa nini tunatazamiana majibu? Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kilicho likizo, kama angesaini kanuni za uchaguzi, Msajili akaja kumtengua, sahihi yake ingetenguliwa? Kwa nini mahakama inapeleka chama likizo baada ya chama kufungiwa ruzuku? Mnafikiri hayana uhusiano?! Kalaghabao! Huu ni umoja wa mihimili.

5. Ukizaa watoto wanakufa, usiwahi kuwapa majina. Subiri wakuekue. Umezaa wa 1, kapelekwa jela kwa uhaini. Ukazaa wa 2, akafungiwa asishiriki uchaguzi hata kama alikuwa hataki. Ukazaa wa 3 akanyimwa ruzuku ya bill ya maziwa. Ukazaa 4 akazuiwa asicheze na watoto wenzake. Ukazaa wa 5, akazuiwa asitoke chumbani na ndoo ya kujisaidia kapelekewa huko. Huyu hatutamkuta amegeuka paka shume?

6. Mchakato wa kufikia “upinzani usio na chama” umejaa ukweli wenye macho kodo bila kupepesa:

✅Ubaya wa Yanga hauongezi uzuri wa Simba.

-✅Likizo ya Yanga haimwamshi Simba kuingia kazini.

-✅Simba bila Yanga kwenye ligi, hata Chimpumu ya bure inadoda.

✅Simba bila Yanga, marefa, vibendera, waganga wa kienyeji na wanajimu wanakosa soko.

✅Yanga bila Simba, walalahoi wanajitambua na kudai haki zao. Mapenzi yanahamia kwenye siasa.

✅Simba bila Yanga, wanazaliwa Yanga wadogo ndani ya Simba. Kwani Gwaji katoka wapi?

7. Tulikofikia, tujifunze kutunza na kulinda amani bila kutumia silaha. Amani ya silaha na kiota cha machafuko yaliyoahirishwa.

Mnakwepa kurudi mezani? Mtakapokumbuka kurudi mezani, viti vya kukalia vitakuwa havipo. Mtakaa chini.

Wasiojulikana wanajulikana na hawapendi kujulikana. Waliotumwa wanapenda kufuta ushahidi; waliotuma wanapenda kufuta ushahidi. Dhambi isiyotubiwa hudhoofisha afya ya akili.
 
Walijua wakimfunga lissu chama kitapoa, Heche kawapelekea moto mpaka wameomba poh
 
Back
Top Bottom