Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hii nchi ni tajiriAkirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Tone tone mapato na matumiziAkirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Mishahara n matumizi ya kawaida. Ila hayo yasio ya tija ndio manunuzi ya magari na mamilion ya goli la mamaMishara, posho si ndio matumizi yasiyo na tija?
Vitu Kama goli la mama ndio upuuzi wenyeweMishara, posho si ndio matumizi yasiyo na tija?
Pia yaweza kuwa magoli ya mama na kuchangia misikiti na makanisaMishara, posho si ndio matumizi yasiyo na tija?
Inasikitisha sanaAkirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Hehehe......biashara huriaManunuz ya wapinzani
Siyo hela ya umma mkuuTone tone mapato na matumizi
Ni fedha za EscrowSiyo hela ya umma mkuu
Akili kumukichwa mkuuNi fedha za Escrow
Pesa ni pesa tuSiyo hela ya umma mkuu
Hatari sanaNi fedha za Escrow