Baada ya sifa kedekede mama nae ametoka kwenye nafasi yake, yaani taasisi ya urais na kuanza kutumikia nafsi yake binafsi.
Rais hawezi kupambana na Gwajiboy, ni kuudharirisha urais! ila Samia kama Samia anaweza kupambana nae kwa maana ya kutunishiana misuli.
Rais afanye ajikite kwenye majukumu yenye hadhi ya cheo chake.
Chawa wote hawaitendei haki nchi hii.