John Heche: Tuko Mgaza Chato tunagonga mkutano wa kwanza, tutafanya mingine minne

John Heche: Tuko Mgaza Chato tunagonga mkutano wa kwanza, tutafanya mingine minne

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche.amesema Wameshaingia Chato na sasa wanafanya mkutano wao wa kwanza

Heche amesema Watagonga Mikutano mingine minne na hawaogopi chochote wako ngangari kinoma
 
lisu kaenda kama nani... asiwatafutie balaa watu wa chato
We Pasuka kabisaa mbombo ngafu kama humpendi Lissu jipange kisaikolojia yaani una ubaguzi zaidi ya Shetani sasa ulitaka aende kama nani Ili uridhike? Sasa chukulia kuwa alienda kama baba Yako wa KAMBO
 
Ndio maana wahuni wa CCM wamechoma gari,maana wanajua hawawezi hoja
 
02 August 2023
Mganza, wilaya ya Chato
Tanzania

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ameongea na wananchi wa Mganza Chato.



Asikiliza vilio vya wavuvi na wafugaji vya wananchi wa eneo hili la kanda ya ziwa ikiwemo Mganza Chato, Tarime, Bariadi, Kisesa, Meatu.

Askari wa hifadhi na serikali ya CCM hawatumii mfumo sahihi wa haki jinai bali wanapiga risasi wananchi bila ya kuwafikisha mahakamani wahukumiwe badala yake wanajiamulia kutoa hukumu ya kifo bila kutumia mahakama wakati sheria hazisemi uvuvi au ufugaji ni kosa la jinai na huhukumiwa kwa adhabu ya kifo amesikitika Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu.

Bandari ya Mwanza, Tanga, Bukoba n.k zimejengwa na wajerumani, mwingereza akaiendeleza, vilevile awamu za uongozi wa Julius Nyerere mpaka John Magufuli juzi walziendeleza ...... sasa hizi bandari kupewa bure milele
 
Back
Top Bottom