Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Makamu mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Heche akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kwa njia ya Mtandao.
Haya ndiyo mazingira ambayo Kiranga ameshindwa kabisa kuyaelewa hata kama ungekesha ukijaribu kumuelewesha. Mimi hata sijui ugumu wa kuyaelewa uko wapi!Makamu mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Heche akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kwa njia ya Mtandao.