John Heche: Tuna matatizo mengi nchini, na asilimia 100 yanasababishwa na uongozi usio na uwezo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Tuna matatizo nchi hii, mambo mengi sana kama nchi na wote tunajua. Nasema uongo? Na asilimia 100 ya matatizo tuliyonayo inasababishwa na matatizo ya kiuongozi.

Tuna watu ambao hawana uwezo, kuanzia hata wenyeviti wa mitaa, ni wabunge, ni marais, ni mawaziri. Yaani ukiona capacity yake unajiuliza huyu anakuwaje waziri?

Kwani ni waziri anakuongoza wewe mwenye uwezo mkubwa, matokeo yake tuna matatizo ya huku. Nyie mko hapa mnatemegea kumaliza chuo, wangapi mko guaranteed kwamba mkimaliza chuo mnaenda kupata ajira? Nyosha mkono tuone. Wangapi hamna uhakika, yaani haujui kwamba nikimaliza nitapata ajira yaani hauna uhakika, onyosha mkono tuone. Ambao hamna uhakika wa kupata ajira. Kwa hiyo ukumbi mzima huu tunasoma hatuna uhakika kama tukitoka tutapata ajira. Kwa nini? Kwa sababu mazingira yaliyopo na watu tulionao hawana uwezo wala mbinu za ku-create hizo ajira."

"Tusiseme hatuna matatizo kwa kuyaficha matatizo yetu wenyewe. Ujasiri wa taifa hauko katika kuficha kasoro zake, bali katika kuzikubali na kuzitatua."

Mwalimu J K Nyerere.
 
aisee ni hatiri ndugu
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Tuna matatizo nchi hii, mambo mengi sana kama nchi na wote tunajua. Nasema uongo? Na asilimia 100 ya matatizo tuliyonayo inasababishwa na matatizo ya kiuongozi.

Tuna watu ambao hawana uwezo, kuanzia hata wenyeviti wa mitaa, ni wabunge, ni marais, ni mawaziri. Yaani ukiona capacity yake unajiuliza huyu anakuwaje waziri?

Kwani ni waziri anakuongoza wewe mwenye uwezo mkubwa, matokeo yake tuna matatizo ya huku. Nyie mko hapa mnatemegea kumaliza chuo, wangapi mko guaranteed kwamba mkimaliza chuo mnaenda kupata ajira? Nyosha mkono tuone. Wangapi hamna uhakika, yaani haujui kwamba nikimaliza nitapata ajira yaani hauna uhakika, onyosha mkono tuone. Ambao hamna uhakika wa kupata ajira. Kwa hiyo ukumbi mzima huu tunasoma hatuna uhakika kama tukitoka tutapata ajira. Kwa nini? Kwa sababu mazingira yaliyopo na watu tulionao hawana uwezo wala mbinu za ku-create hizo ajira."

wafuata mkumbo malofa ndio pekee wanaweza kumsikiiza huyo mvuta bangi mropokaji 🐒
 
Back
Top Bottom