John Heche usijichoshe na Mahakama ambazo, Waziri Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali walishazipa Maelekezo !

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu .

Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi.

HECHE HECHE HECHE, nmekuita mara tatu, Hamna Chama Cha Siasa Cha Upinzani Barani Afrika ambacho Uhai wa MAISHA YAKE unapatikana kirahisi, HAKUNA HAKUNA HAKUNA !!!.

HECHE AMKA, AMKA ,AMKA AMKA HECHE, TWENDE WANAVYOTAKA, DUNIA IKO NASISI, MUNGU YUKO NASISI
 
Ndugu kwahali ya mambo ilivyo unadhani Heche akiitisha maandamano atapata waandamanaji?watanzania ni mtihani kwenye maandamano.
 
Back
Top Bottom