Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ndioo, Sasa Mahakama zimeshaingiliwa na Waziri, Serikali, hapo Kuna chamaana??.Uko sahihi mkuu
Ndugu kwahali ya mambo ilivyo unadhani Heche akiitisha maandamano atapata waandamanaji?watanzania ni mtihani kwenye maandamano.Wanazi hawana mpango wa kutoa haki kupitia Mahakama , ingekua hivo Kesi ya LISSU ingekua tayari Mahakama Kuu .
Ingekua hivo ,huyo Muhuni angekua keshajutoa kwenye Kesi.
HECHE HECHE HECHE, nmekuita mara tatu, Hamna Chama Cha Siasa Cha Upinzani Barani Afrika ambacho Uhai wa MAISHA YAKE unapatikana kirahisi, HAKUNA HAKUNA HAKUNA !!!.
HECHE AMKA, AMKA ,AMKA AMKA HECHE, TWENDE WANAVYOTAKA, DUNIA IKO NASISI, MUNGU YUKO NASISI
Aitishe, Kuna Mbinu Nampa ,na itafanikiwaNdugu kwahali ya mambo ilivyo unadhani Heche akiitisha maandamano atapata waandamanaji?watanzania ni mtihani kwenye maandamano.