John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

John Heche: Wabunge 19 Viti Maalum wajitokeze kuomba msamaha badala ya kuwatumia Watu

Waendelee tu kucheza bendi ya ndugai na daima tutawatambua kama covid 19, chedema mbereee kwa mbereee
 
Inaonekana huna akili kabisa na huijui nchi yako vizuri
Wewe ndiye huna "akili"...

Kwani hata ukisema SGR imefika Mwanza atakayekushangaa kuwa una " akili??"

Hapana tutakusifu tu kuwa una - AKILI sisi tulio Mwanza, Shinyanga nk hatutakuwa na akili kwa sababu hatuioni hiyo SGR...
 
Chadema ndo wanatakiwa wajikite kupigania agenda za kitaifa na kuwakilisha maslahi ya wananchi wote siyo kabila...
 
Chadema mmeanza kujikanyaga...
Mnawahitaji kwani?
Waombe msamaha ili iweje? Mbona humueleweki
Kuweni na msimamo
Hawa walisaliti wananchi sio Chadema hawastahili huruma wala msamaha wakitaka kutoka bungeni watoke wasipotaka kutoka mbele ya safari watadaiwa malipo yote...
Wana nini cha maana cha kuiendesha Chadema

Songeni mbele msigeuke nyuma Mtageuka kuwa Chumvi
Pesa isiwatoe ufahamu
Tengenezeni Imarisheni Chama bila hao wasaliti 19

Kwani ni wake zenu ama..........
Msivuruge watu
 
hii move inapo elekea tunataka kupigwa change la macho, mwishowe 'tume wasamehe, waliomba msamaha'...……….. kwa jinsi walivyo mtukana mnyika vilee…………. wakisamehewa tuu Mnyikaa waachie huo ukatibu mkuu waoo pia, tangu mwanzo tulikuwa tunajua nani anaye wpa kiburii
 
Masharti aliyotoa spika ni magumu sana tunajua[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Endelea kujifariji
hawa ndivyo walivyo mfano kwenye uchaguzi mdogo kigoma alisimama mgombea wa zitto kabwe nasema amepewa taarifaza ndani ya ccm eti wanagombana mgombea wameweka hakubaliki na wananchi yaani mpaka aibu wapinzani sijui mnakwama wapi wamepigwa asubuhi kweupeeee wainzani mtabaki kuwa wapinzani milele
 
Kumbe wameanza kuomba msamaha sasa kwanini wanawatumia watu kwani hao watu ndio walikosea?

Wanatakiwa wasubirI siku Baraza Kuu likikutana ndio waombe msamaha mbele ya wajumbe wote wa Baraza Kuu na watanzania kwa ujumla.
 
Ndio maana nilisema, Raisi SAMIA ana akili,aliichungulia hii ishu akaikwepa.Amemwachia Ndugai 'KING SULEIMAN ' aka AKILI MINGI au KIM JONG UN, kwenye soka tungemwita 'GOAT' yaani greatest of all time
 
Back
Top Bottom