John Kadutu Ndio Mwarobaini Kamati ya Utendaji TFF

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Huyu bwana hakika kama wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF watamchagua kuwa mjumbe wa kamati ya Utendaji watakuwa wameitendea haki soka ya nchi hii.
John Kadutu maarufu kama "Mgosi" ni mbunge wa Ulyankulu huko Tabora lakini pia amewahi kushika nafasi nyingi za kimichezo kuanzia enzi za vilabu vya RTC katika mikoa mbali mbali na mwisho alikuwa Mwakilishi wa vilabu mkoa wa Mwanza kabla hajashika nafasi aliyo nayo ya Mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Tabora.
Kadutu aka Mgosi, ni mpambanaji na asiye kuwa na ukigeugeu katika maamuzi na figisufigisu za soka anazijua na anaweza kupambana nazo. Na katika viongozi wa juu wanaogomea sioni hata mmoja wa kuweza kuiburuza kamati ya Utendaji iwapo Kadutu atakuwepo kama mjumbe.
Tunahitaji mabadiliko ya soka katika uendeshaji wake kwani tumechoka kuburuzwa na kufanya kama TFF kama sehemu ya kutajirikia na kutokuza soka.
Wajumbe John Kadutu huyoooo, kama mnaipenda soka yetu basi mnajua mnapaswa kufanya nini. Navyo mjua Kadutu hatajiingiza kwenye rushwa, na kama kuna mjumbe anategemea kupokea rushwa kutoka kwake ili amchague basi atakuwa amekosea sana.
 
Naona unaanza kampeni kabla ya muda Tutakata jina lako
 
Huyo kapita moja kwa moja maana ana CV nzito kuanzia kwenye ajira,siasa na michezo sio kama wale wengine CV yao kubwa na ya pekee ni kucheza mpira uwanjani.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa promo tu hiyo! Kama ni mbunge amefanya nini cha maana katika jimbo lake? Je unadhani ataweza kuikomboa soka ikiwa jimbo tu linamshinda!!
 
Huyu bwana hakika kama wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF watamchagua kuwa mjumbe wa kamati ya Utendaji watakuwa wameitendea haki soka ya nchi hii.
John Kadutu maarufu kama "Mgosi" ni mbunge wa Ulyankulu huko Tabora lakini pia amewahi kushika nafasi nyingi za kimichezo kuanzia enzi za vilabu vya RTC katika mikoa mbali mbali na mwisho alikuwa Mwakilishi wa vilabu mkoa wa Mwanza kabla hajashika nafasi aliyo nayo ya Mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Tabora.
Kadutu aka Mgosi, ni mpambanaji na asiye kuwa na ukigeugeu katika maamuzi na figisufigisu za soka anazijua na anaweza kupambana nazo. Na katika viongozi wa juu wanaogomea sioni hata mmoja wa kuweza kuiburuza kamati ya Utendaji iwapo Kadutu atakuwepo kama mjumbe.
Tunahitaji mabadiliko ya soka katika uendeshaji wake kwani tumechoka kuburuzwa na kufanya kama TFF kama sehemu ya kutajirikia na kutokuza soka.
Wajumbe John Kadutu huyoooo, kama mnaipenda soka yetu basi mnajua mnapaswa kufanya nini. Navyo mjua Kadutu hatajiingiza kwenye rushwa, na kama kuna mjumbe anategemea kupokea rushwa kutoka kwake ili amchague basi atakuwa amekosea sana.
Wajumbe wanakuwa ni akina nani please tuelimishe
 
Itakuwa promo tu hiyo! Kama ni mbunge amefanya nini cha maana katika jimbo lake? Je unadhani ataweza kuikomboa soka ikiwa jimbo tu linamshinda!!
Promo kivipi? Huyo ni mbunge wa ccm, na Mimi na ccm ni tofauti lakini kwenye ukweli wa soka nasema.
Hata hivyo maendeleo gani wakati ni mbunge mpya? Na hapa tunazungumzia historia ya uongozi wa soka tuu.
 
Wajumbe wanakuwa ni akina nani please tuelimishe
Mkuu wapo wenyeviti wa vyama mikoa, wawakilishi wa vilabu nadhani vya ligi kuu na kundi lingine. Hawazidi 200 kama sikosei.
Mkuu katika kujenga soka I don't mind hata kama ni mbunge wa ccm anayejitambua atasaidia soka sawa tuu
 
Huyu jamaa kawa Mwenyekiti wa tff Tabora hebu mtuambie timu hata moja inayoshiriki ligi kuu toka Tabora.
 
Ligi inaratiba yake, Kadutu ni mwenyekiti wa Soka Tabora sio zaidi ya miezi minne
 
Back
Top Bottom