johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kila nikikumbuka kauli hii ya aliyekuwa mbunge wa Nyassa John Komba RIP aliyoitoa bungeni kwamba CCM ni kama Kokoro huwa inanitafakarisha sana.
Sasa kama CCM ni kokoro chama kikuu cha upinzani CHADEMA tutakiitaje? Maana Chadema hupokea mtu yoyote na hawadumu baada ya kitambo kidogo huondoka kuelekea CCM.
Ngoja niendelee kutafakari.
Maendeleo hayana vyama!