Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Waziri wa fedha wa zamani Mramba alichanjwa damu imeganda kapata stroke kadediChanjo ni muhimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa fedha wa zamani Mramba alichanjwa damu imeganda kapata stroke kadediChanjo ni muhimu sana
Huyo hatujui ila mramba alichanja kapata mara kapata strock kafaAlichanja?
Kwahiyo ujui nini kimemkuta aliyekuwa waziri mramba baada ya kuchanjaAlituchelewesha sana. Chanjo tungeanza nazo mapema wazee hawa wangekuwa hai leo. Tunaendelea kupoteza watu leo kwa ajili yake.
Umenisoma ewe kajamaa?
Mramba ni strock imetokana na chanjo kugandisha damuBasil na Mwakipesile wametangulia leo
😂😂😂😂😂😂😂 Hiiiiii bagosha!
Kwani wewe ni mtalaamu mbobezi wa masuala ya afya?
Umelisikia tamko la serikali kutoka kwa wabobezi wataalamu wa afya kumhusu Gwajima?
"Atawajibishwa kwa vifo vyote hata vinavyotokea sasa kutokana na upotoshaji wake kuhusiana na chanjo."
Haiyumkiniki tamko hilo litawafuatilia wahusika wa upotoshaji wote hata kama wako Chato.
Kwahiyo ujui nini kimemkuta aliyekuwa waziri mramba baada ya kuchanja
Mramba ni strock imetokana na chanjo kugandisha damu
Basi sawa kumbe ni covid virus si covid chanjo sasa yeye alikuwa anangoja nini kuchanjwa siyupo ccm na umri wake zaidi ya 50Acheni upotoshaji:
"Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.
Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest) .."
Mramba alilazwa kwa covid-19 kabla ya chanjo kuanza kutolewa. Bila kusahau:
#COVID19 - Chanjo isiwe Siasa, Vigezo na Masharti vizingatiwe
Cc: Elli M
Basi sawa kumbe ni covid virus si covid chanjo sasa yeye alikuwa anangoja nini kuchanjwa siyupo ccm na umri wake zaidi ya 50
Huyu mtu kumbe ni famousFred Sam wa Rose garden duh gonjwa hili sasa linatisha
Lini vilikuwa vichache, tupe takwimu za mwaka huu na miaka iliyopita tulinganisheAise.. Vifo vimekuwa vingi.
Johnson And JohnsonChanjo imeanza kufanya yake
Nanda iwanja wa ndege kuna msiba wa jamaa kafariki baada ya chanjo hapo wafanyakazi wa air port wameingia hofu baada ya huyo jamaa kufa kama mimi muongo basi waandishi wa habari waliopo hapa waende kuuliza ,wewe uliwasikia wizara wakisema kuwa madhara ya kovidi yasijulikane kwa yoyote ni kampeni ya kitaifaNinakazia:
"Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19."
TANZIA - Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia
Chanjo zimeanza kutolewa 3 August Marehemu akiwa keshalazwa kwa Covid-19 tayari.
Alaumiwe sana aliyetuchelewesha kupata chanjo hizi mapema.