TANZIA John Livingston Mwakipesile, Mbunge wa zamani wa Kyela afariki dunia

Acha hizo, aliyefariki anaitwa nani?
Huwa unaulizwa kama una ugonjwa nyemekezi kabka ya chanjo.
Usikute mtu ana HIV , kisukari au pressure.
Tahadhari ni yako mwenyewe.
 

Kwanza poleni sana kwa msiba. Kifo kinauma na ni upumbafu uliopitiliza kwa awaye yote kudunisha suala la kifo cha mtu asiyemhusu.

Zipo sababu nyingi zinazoweza kuelekea kifo mtu baada ya kupokea chanjo:

1. Kifo kutokana na chanjo kinacho sababishwa na masharti na vigezo kutozingatiwa:

TANZIA - Dkt. Hassan Doulla, Daktari bingwa wa watoto Hospitali ya Dkt. Massawe afariki dunia

Comment #71 inahusika.

2. Mtu anaweza kupokea chanjo lakini akafa kwa magonjwa mengine ambayo hata bila chanjo angaliweza bado kufa mfano: malaria, cancer, nk (yaani coincidence).
 
Msibani tutakula nini nyasi au mtori?
 
Acha hizo, aliyefariki anaitwa nani?
Huwa unaulizwa kama una ugonjwa nyemekezi kabka ya chanjo.
Usikute mtu ana HIV , kisukari au pressure.
Tahadhari ni yako mwenyewe.
Nikweli watafute wafanyakazi wa Airport watakuambia msiba upo hapa banana
 
Kwahiyo unapingana na waliounda chanjo ?
 
Kwahiyo unapingana na waliounda chanjo ?

Wapi napopingana na watengeneza chanjo?

Uliweza kusoma nilichoandika au hata rejea nilizokupa?

#COVID19 - Chanjo isiwe Siasa, Vigezo na Masharti vizingatiwe

Ninakazia: Hapa nchini chanjo inatolewa bila kuzingatia masharti wala vigezo vya mtengenezaji.

Bila shaka ndiyo sababu tuna saini hati ya kutoiwajibisha serikali na wala siyo mtengeneza chanjo.

Siasa imetangulizwa mbele. Hii chanjo si kwa hisani ya SSH wala CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…