John Magufuli maiden official trip to Kenya

Acha lugha isiyofaa kwa kiongozi wa nchi wewe.

Mleta mada ametoa tahadhari tayari post #2
Haya wewe unaesema nimetumia lugha isiyofaa kivipi au umeelewa nini maana yangu au unalopoka tu nyinyi ndiyo mnaoshindwa kesi mahakamani kwa kulopoka niambie maana ya lugha niliyo itumia na kuto kufaa kwake
 
Hukusikia Magufuli na Kenyatta wana sema sisi sote ni ndugu, tutabanana humu humu kwenye thread za Kenya.
Kweliii kabisa kuanzia leo sisi ni ndugu humu Kenyans news na haitakuwa ikiitwa hivyo tena ... Tutainame "TZ&KE NEWS".... Copy?..... Over
 
We have done our bit, without us you wouldn't have Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Angola, Namibia in AU. At the same time, Kenya was busy crucking champagne with Israel, white South Africa, USA and Europe.
So did Cubans but unlike you guys they do not regard it as a reason for entitlement
 
Rubbish, Mao wa China aliwatuliza watu wa karba yako
Kumbe hata kiswahili hukijui?? Hili neno "karba" ulitaka kumaanisha ni sehemu yako ya kutolea haja kubwa??
 
We have done our bit, without us you wouldn't have Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Angola, Namibia in AU. At the same time, Kenya was busy crucking champagne with Israel, white South Africa, USA and Europe.

Aren't you (tz) "crucking" the biggest bottle of champagne with those nations you mentined now?...INVESTMENTS AND MISAADA?
 
Aren't you (tz) "crucking" the biggest bottle of champagne with those nations you mentined now?...INVESTMENTS AND MISAADA?
We are eating the fruits of our labour, funny enough, Kenya always shows up when the war is over and demand free visa, free trade, free movement of people thinking no one is watching.
 
Yesterday evening at the state bounquet in honour of Hon Dr John P. Magufuli, President of the United Republic of Tanzania.
 
Kwa sasa hivi anaifungua rasmi barabara ya southern bypass eneo la ngong overpass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…