John Magufuli maiden official trip to Kenya

Siyo kweli. Mawaziri husika ku kutana Dar kabla mwisho wa mwaka kujadiliana utekelezaji wa makubaliano.
ila mnafikiri van zenu zitaruhusiwa kuingia Serengeti? over my dead body! labda kama Kenya watajiunga na pipeline ya Uganda na kuacha LAPSSET project! It is called give and take! Mpo ready? Halafu mlivyo wajinga mnaiita Serengeti Masai mara ati Tanzanian side of reserve! Hivi Masai mara ni World Heritage kuilinganisha na the Serengeti? Navyojua Masai mara haina EMP Wajinga kweli nyie!
 

Huyu mwandishi wa wapi huyu. Bernad Membe katokea wapi hapa?
 
Nashindwa kuwaelewa hawa waandishi wa Kenya wanalengo gani na nch yetu. Hebu angalia hii statement

The joint ministerial team, spearheaded by Kenya's Foreign Cabinet Secretary Amina Mohamed and her Tanzanian counterpart Bernard Membe, is expected to meet in Tanzania before year-end.

Kwanini hawa wenzentu wako hivi? Ni makusudi au ni kukosa exposure?
 

..nilikuwa nachomekea tu. Usikasirike.
 
Umetii.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…