John Makini na mdogo wake...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Kila Mara ninapotazama nyimbo za John akini kwenye Tv I can't help admire kitu ...'the brotherhood' between them. Na jinsi dogo anavyomkubali na kumheshimu kaka yake .dogo ni graduate..second degree juzi tu..kaka mtu ni form four tu..but still that respect ya dogo kwa kaka yake u can still feel it...na the fact kuwa he is his brother's keeper .Unaweza ona how John ameweza kum lead mdogo wake na kuweza ku earn his respect pamoja na kuwa mziki anaoufanya hauna pesa kivile..there is something special about them ...
 
Jamaa nawakubali sana.. Na ni watu wanaonekana na heshima na ngoma zao ni safi .. Km bei ya mkaa si mchezo
 
Sidhani kama kuwa na elimu kunamfanya mtu asimheshimu Kaka, Dada wala Mzazi wake ambaye aliukimbia umande. Mimi Bwana mdogo wangu ni Phd holder, wakati mimi mzee mzima ni mvuvi tu wa kawaida, lakini bado ananipa heshima yangu kama kaka mkubwa!.
 
The brains ndani ya hizo vichwa ni daaaaah!
Wanafanya nipende yo yo yo kusema ukweli!
Kudos kwa wazazi wao.
 
The Boss Nimekumiss.
 
Last edited by a moderator:
 


Malezi waliyopewa tangu utotoni ndio yamewajenga kuwa na upendo na kuheshimiana
Mkuu The Boss siku nyingi sanaaa, mzima?
 
Walionimiss wote walinifuata pm we sikukuona...Mzima lakini...nimerudi zawadi yangu ya kunimiss Nasubiri.

Ha ha pm lo mi mzima The Boss.
Zawadi yako ipo melini inaelea.
 
Last edited by a moderator:
Malezi waliyopewa tangu utotoni ndio yamewajenga kuwa na upendo na kuheshimiana
Mkuu The Boss siku nyingi sanaaa, mzima?
. Mzima mama d upoo?nilikumiss naona hawa wazazi wao waliweza kuwapa malezi yaliyowasaidia
 
I just adore this duo

Na wangekua wanapiga pesa kama diamond mngewasifia? Wanga wakubwa nyinyi mtu akichoka misifa kibao akitoka matusi mwanzo mwisho..mwafrika kweli asili yake uchawi ona sasa eti nawakubali kinoma shenz taip
 
Na wangekua wanapiga pesa kama diamond mngewasifia? Wanga wakubwa nyinyi mtu akichoka misifa kibao akitoka matusi mwanzo mwisho..mwafrika kweli asili yake uchawi ona sasa eti nawakubali kinoma shenz taip

unamaanisha joh na mdogo wake wamechoka?
Wanachosifia hapa ni kitu kinachoonekana , na domo hupondwa kutokana na matendo yake ya kilimbukeni ambayo hayana sense na kuifunza jamii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…