John Makini na mdogo wake...

John Makini na mdogo wake...

Na wangekua wanapiga pesa kama diamond mngewasifia? Wanga wakubwa nyinyi mtu akichoka misifa kibao akitoka matusi mwanzo mwisho..mwafrika kweli asili yake uchawi ona sasa eti nawakubali kinoma shenz taip
Kwani hapa wanasifiwa mafanikio yao au wanavyoheshimiana?
Umekurupuka
 
Na wangekua wanapiga pesa kama diamond mngewasifia? Wanga wakubwa nyinyi mtu akichoka misifa kibao akitoka matusi mwanzo mwisho..mwafrika kweli asili yake uchawi ona sasa eti nawakubali kinoma shenz taip
Shida sana kuamini pesa inakufanya upendwe au uchukiwe .
 
I just luv them vibaya sana kiukweli hakuna ngoma waluoitoa nisiwe nayo na pia napenda wanavyoheshimiana na kupendana. Na wanajua kuimba hawabahatishi... Huwa mara nyingi nikisikiliza mistari ya Nikki na waza huwa anafikiria nn kabla ya kutunga kama ule wa nje ya box.. Ni idea ya kivyake kabisa
 
Mashairi ya wimbo "Nje ya Box" yana ujumbe mzuri sana.
 
Nikki anakwambia "Baba angu Simoo(mzazi wao anaitwa Simon) Baba angu wa flow ni Joh. Dogo anamkubali sana kaka.
 
Kitu ambacho wengi hawafahamu ni kua Joh Makini ndo alianza haso za mziki miaka mingi iliyopita, ila nikki nae alikua anafanya ila kwa siri bila kaka kujua afu muda mwingi alikua shule. Baadae kaka ashatoka anaambiwa tu dogo nae ana andika na ni mkali. Baadae ndo akagundua uwezo wa dogo ndo akamshirikisha kwenye niaje ni vp
 
Ni mfano wa kuigwa kwakweli.....na kuheshimiana kwao kunawafanya watu wenye akili timamu kuzidi kuwakubali...na kuupenda mziki wao....
 
Na wangekua wanapiga pesa kama diamond mngewasifia? Wanga wakubwa nyinyi mtu akichoka misifa kibao akitoka matusi mwanzo mwisho..mwafrika kweli asili yake uchawi ona sasa eti nawakubali kinoma shenz taip

umevurugwa wewe
 
Nawapenda sana hawa!!!!!!!! afu nje ya box ina ujumbe mzuri na watofauti.
 
Na wangekua wanapiga pesa kama diamond mngewasifia? Wanga wakubwa nyinyi mtu akichoka misifa kibao akitoka matusi mwanzo mwisho..mwafrika kweli asili yake uchawi ona sasa eti nawakubali kinoma shenz taip

Kukurupuka shughuli!
 
Back
Top Bottom