John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

Status
Not open for further replies.

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
images (1).jpeg

Mzee William akiwa na marehemu mama yake

images.jpeg

Mzee William akiwa na mama yake wa kambo

Pamoja na kutokumkubali Le Mutuz kutokana na itikadi za kisiasa. Lakini nimeumizwa sana kejeli dhidi yake zinazoendelea mitandaoni

Nimekutana na video jamaa akimtuma mwanae gengeni amletee "Le Mutuz" mbili akimaanisha bamia mbili.


Ishu hapa ni habari zinazozagaa kila kona kwamba William ana kibamia kama kinavyoonekana kwenye video iliyochukuliwa na binti mdogo aliyekuwa akimpa huduma ya ngono Ndg.William. Mzee William ambaye anasemekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya 60 ni mtoto wa John Malechela aliyepata kuwa mtu mkubwa sana nchi hii. Alipata kuwa waziri mkuu wa Tanzania nzima hii akiiongoza mamilioni ya wa Tanzania.

Nimekuwa nikijiuliza nafasi ya mzee John Malechela juu ya tabia zisizoendana na umri za mwanae William. Ni dhahiri kwamba William ana maisha yake ni mtu mzima,lakini mtoto kwa wazazi hakui,familia za kiafrika zina utamaduni wa mtoto kuendelea kuwajibika kwa wazazi nk. Mzee John Malechela na mama wa kambo Mama Anne Malechela mko wapi kumkanya huyu mzee William Malechela?hamuoni kama anachafua taswira ya familia na ukoo wenu wenye heshima?
 
shida ya huyu bwana ilianzia kutaka kufahamika mitandaoni, mabishano ya kipuuzi na mange bila ya hivyo wala asingepata hili linalo mpata.

mzee wake hana lawama katika hili, naamini alisha muonya mara 2-3 juu ya mwenendo wake ila nafurahi zaidi wengi hawafahamu kama ni mtot wa mzee hasa kwa jina lake le mutuz
 
Mzee Malechela hapaswi kulaumiwa, le mutuz ni mtu mzima anatakiwa ajiongoze sidhani kama mtu mwenye 40+ unahitaj kuongozwa.
 
Mzee Malechela hapaswi kulaumiwa, le mutuz ni mtu mzima anatakiwa ajiongoze sidhani kama mtu mwenye 40+ unahitaj kuongozwa.

Wamesema; Amkanye na hata mamake wa kambo. Amkanye. Kwetu upareni hatuwezi mvumilia tu ati kwa kuwa ni mtu mzima. Awaite wazee wamkanye. Maungo yale hayaonyeshwagi hata kwa huyo mwanamke uliyelala naye. Iweje
 
Huko upinzani ya kutunga mnayorusha humu yanawashinda now unaingilia maisha ya watu. Kuwa na heshima kwa Mzee huyo na familia yake.
 
Nyie hangaikeni You know mabebiz You know masuper star you know wanakubali huduma yake
 
Hakuwa mtoto rasmi , alikuwa mtoto wa kazi za nje ingawa alikua ndio wa kwanza ,ndiyo sababu unaona yuko hivyo , alikosa yale matanuzi ya mtoto wa waziri mkuu kwasabubu kipindi hicho teari alikua kaisha zamia nje ya nchi, kifupi hakua na ile status walio kuwa nayo watoto wengine wa ndani wa Malechela kama kina marehemu Ippy .
 
Hakulelewa na Malechela , alizamia nje akiwa kijana , haukishi na baba yake kwa kifupi.
Pamoja na hayo nina ushahidi wa watu wenye uwezo waliowapeleka watoto wao kusoma nje tangu wakiwa wadogo hawajajitambua mwisho wa siku wamekuja kuwa vituko. Tofauti na lugha hakuna kingine zaidi ya kufanya vitu vya ajabu kinyume kabisa na maadili ya jamii yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom