OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mzee William akiwa na marehemu mama yake
Mzee William akiwa na mama yake wa kambo
Pamoja na kutokumkubali Le Mutuz kutokana na itikadi za kisiasa. Lakini nimeumizwa sana kejeli dhidi yake zinazoendelea mitandaoni
Nimekutana na video jamaa akimtuma mwanae gengeni amletee "Le Mutuz" mbili akimaanisha bamia mbili.
Ishu hapa ni habari zinazozagaa kila kona kwamba William ana kibamia kama kinavyoonekana kwenye video iliyochukuliwa na binti mdogo aliyekuwa akimpa huduma ya ngono Ndg.William. Mzee William ambaye anasemekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya 60 ni mtoto wa John Malechela aliyepata kuwa mtu mkubwa sana nchi hii. Alipata kuwa waziri mkuu wa Tanzania nzima hii akiiongoza mamilioni ya wa Tanzania.
Nimekuwa nikijiuliza nafasi ya mzee John Malechela juu ya tabia zisizoendana na umri za mwanae William. Ni dhahiri kwamba William ana maisha yake ni mtu mzima,lakini mtoto kwa wazazi hakui,familia za kiafrika zina utamaduni wa mtoto kuendelea kuwajibika kwa wazazi nk. Mzee John Malechela na mama wa kambo Mama Anne Malechela mko wapi kumkanya huyu mzee William Malechela?hamuoni kama anachafua taswira ya familia na ukoo wenu wenye heshima?