John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

Status
Not open for further replies.
Kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia km una watoto kadhaa lkn mmoja ana tabia tofauti na wengine inakubidi ufanye research, inawezekana huyo si mwanao au huyo ndio mwanao halisi pekee wengine umesingiziwa.
Jaribu kuangalia tabia zako wakati ulipokuwa umri km wake zinafanana na wewe?
 
mbona yuko sawa tu asaidiwe katibu mwenezi wa CHADEMA mwehu Mange ndio anahitaji msaada
Hii ya kufanya ufananishaji wa Kagame anaongoa kwa miaka saba JPM kaikataa katika kichwa cha habari cha gazeti kuwa ni uchochezi inamfanya uliyemwita mwehu kuwa ndio chanzo pendwa cha habari nchini
 

Nikiwa kama niliye kulia ushuani na wenzangu tulio wez kwenda nje wakati wa umri mdogo sijaona ushahidi wa unao ongelea, wengi wetu wa Obay, Masaki,Ada Estate ,Reagent wako vizuri tuu ,huyo unaye Lemutuz kaenda ulaya kwa meli , unategea mimi?
 
Huyu mzee naomba nimpatie certificate of appreciation ya uvumilivu na ujasiri. Ujasiri alionao ni wakipekee sana! Kadamnasi imeona "makao makuu yako" lakini bado una ujasiri wa kupiga picha na kupost kwenye mitandao!?

Mzee wangu Lembebez jasiri haachi asili nimekukubali mshua wangu.
 
sasa yule ni taahira mkuu
so mzee malecela tutamuonea bure tu
tangu lini taahira akawa sawa na mwenye akili timamu ..??

YULE KAZALIWA TAAHIRA HAWEZI KUBADILIKA LABDA KAMA INGETOKEA ALELEWE NA YESU
Napita kwa kunata[emoji124]
 
Huko upinzani ya kutunga mnayorusha humu yanawashinda now unaingilia maisha ya watu. Kuwa na heshima kwa Mzee huyo na familia yake.

Jitu zee zima na bamia lake haliji heshimu kama vipi liheshimu wewe hujalatazwa
 
Kule Makete mkoani Njombe kuna jamaa anaitwa Kondomu. Nilipohoji uhalali wa jina lake nikaambiwa uwepo wake duniani ulisababishwa na condom kupasuka wakati wa starehe ya wenye nyege wawili, jamaa tabia zake naye ni za ajabu ajabu!
 
Kule Makete mkoani Njombe kuna jamaa anaitwa Kondomu. Nilipohoji uhalali wa jina lake nikaambiwa uwepo wake duniani ulisababishwa na condom kupasuka wakati wa starehe ya wenye nyege wawili, jamaa tabia zake naye ni za ajabu ajabu!

kwani anamfikia huyu kiongozi wako wa jumuia ya wazazi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] watu mna maneno aiseee daah! Eti angelelewa na yesu
kazaliwa kabla ya Uhuru lakini anashindana na kina wema sepetu anataka kuwa rafiki wa aslay ambao wengine nisawa na wajukuu zake ..sasa hapo utamuona kuwa anaakili ..!!?wakati generation yake niyakina chenge .ana tibaijuka..namu heshimwa mchato
 
Wanaendana na mzee wenger.
Ingependeza kama le mutuz akapewa ukocha msaidizi wa arsenal maana sio kwa ugumu huo
 
Wamesema; Amkanye na hata mamake wa kambo. Amkanye. Kwetu upareni hatuwezi mvumilia tu ati kwa kuwa ni mtu mzima. Awaite wazee wamkanye. Maungo yale hayaonyeshwagi hata kwa huyo mwanamke uliyelala naye. Iweje
Bahati nzuri mpare umejitokeza, swali langu kwako anayestahili kukanywa ni mwenye maungo au aliyerusha video hiyo? Kwa nini msimkanye aliyerusha? Au yeye kafanya vizuri? Au mnamuogopa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…