dah JF ni balaa wakati mwingine, ila uko sahihi kabisa Lemutuz ana matatizo tena si madogo kwa kulinganisha na umri wake. Mtu mwenye akili timamu kwa tukio kama lile lazima uone haya kidogo alafu unabadili mwelekeo. Bro Lemutuz hayo mambo tuwaachie wajukuu zetuSasa yule ni taahira mkuu
so mzee malecela tutamuonea bure tu
tangu lini taahira akawa sawa na mwenye akili timamu ..??
YULE KAZALIWA TAAHIRA HAWEZI KUBADILIKA LABDA KAMA INGETOKEA ALELEWE NA YESU