John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

Status
Not open for further replies.
Sasa yule ni taahira mkuu
so mzee malecela tutamuonea bure tu
tangu lini taahira akawa sawa na mwenye akili timamu ..??

YULE KAZALIWA TAAHIRA HAWEZI KUBADILIKA LABDA KAMA INGETOKEA ALELEWE NA YESU
dah JF ni balaa wakati mwingine, ila uko sahihi kabisa Lemutuz ana matatizo tena si madogo kwa kulinganisha na umri wake. Mtu mwenye akili timamu kwa tukio kama lile lazima uone haya kidogo alafu unabadili mwelekeo. Bro Lemutuz hayo mambo tuwaachie wajukuu zetu
 
inasikitisha mnoo mkuu
halafu yule ndiye miongoni mwa marafiki wa makonda ..

nadhani itakuwa umeshaelewa nachomaanisha ..
 
mtoa mada,Mzee malecela kakukosea nini mpaka umdhalilishe???parents can only give advice but mtu anachofanya ni hiari yake mwenyewe kufuata ama kutofuata ...
Ninemuelewa mtoa mada ni kuwa mzee mwenye busara kama wewe, malezi yako na ushauri ndiyo yametoa mtu huyu?
 
mmmnh wangekua wote kwenye familia yao wanabehave vibaya then mngekua na cha kuongea,hamuwezi kumtumia huyu mtu kuconclude Mzee Malecela alikosea,besides ni mtu mzima,anachagua anavyoishi,mnataka mzee Malecela atembeze bakora??? mnamuonea bure....
 
Hivi kosa la le mutuz ni lipi??? Naona wengi humu mnaongozwa na chuki binafsi tu na kutaka kila mtu aishi mnavyotaka nyie. Sijaona sheria aliyovunja Le mutuz ila yeye ndo anapaswa aombwe msamaha na kulipwa fidia ya mamilioni kwa udhalilishaji aliofanyiwa. Le mutuz sio wa kulaumiwa ana shughuli zake halali kama watanzania wengine. Wabongo tuache wivu na chuki za kijinga.
 
Ni nani mwingine amefanyiwa haya na ajiulize ni kwanini?
 
Zamani watoto wenye matatizo ya akili walikuwa wakifungiwa ndani ili kuepusha usumbufu au madhara kwa jamii iliyozunguka familia husika. Leo dunia inahubiri usawa na haki za binadamu matokeo tunayaona. Twende tu!
 
Huyo Mange ameshawadhalilisha watu kibao sana ila sijaona watu wakimlalamikia humu zaidi ya kumlaumu aliedhalilishwa.
 
Huyo ndie alikuwa mmiliki wa ile blog ya ze utamu ndio maana aliyoyafanya yanamrudia sasa hv.
Kama hiki kibabu ndio kilikua kinamiliki ile blogu chafu ya ze utamu iliyokua imesheheni picha za wadada za utupu basi ni stahiki yake pia kuwaonyesha watanzania kibamia chake, sikua najua kwanini anajiita mfalme wa mitandao ya kijamii Tanzania Le mutuz[emoji41] at 60 years and still behaving like a teenager[emoji45] [emoji45]
 
aliekua anamiliki zeutamu,ni kijana wa kigogo mwengine anaitwa Peter,sikumbuki ubini wake
 
Zamani watoto wenye matatizo ya akili walikuwa wakifungiwa ndani ili kuepusha usumbufu au madhara kwa jamii iliyozunguka familia husika. Leo dunia inahubiri usawa na haki za binadamu matokeo tunayaona. Twende tu!

Duh you have made my day , aisee lile jamaa haliko sawa lipo kama dubu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom