John Marwa: Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vijana wa CHADEMA haijachukua hatua yoyote?

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,

Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.

View attachment 3186407
Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.

Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?

Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
 
Vijana wa chadema ndio polisi?
 
Jibu hoja za mwandishi
 
Umeanzishia thread video ambayo iko nusu, na unamnukuu mwandishi wa habari ili tuanze kuvurugana na kutukanana humu ili iweje?!
 
Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,

Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.

View attachment 3186407
Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,

Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.

View attachment 3186407
"Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vija wenu CHADEMA haijachukua hatua yoyote!"

1. Mbowe ana jeshi la Polisi lenye wajibu wa kulinda raia na mali?
2. Mbowe ana vyombo vya uchunguzi?
3. Mbowe ana Mahakama zinazoweza kesi za watuhumiwa wa utekaji?
4. Mbowe ana Magereza za kuwafunga waliotiwa hatiani kuteka, kupiga na kuu?
sasa najua umejua nani anakaa kimya baada ya utekaji, utesaji na uuaji, mwambie askae kimya
 
Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.

Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?

Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
Hawajui hata wanachokipigania, ile ni murder case jamhuri ndiyo mwenye kesi inatakiwa ilete mrejesho kwa wananchi.
 
"Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vija wenu CHADEMA haijachukua hatua yoyote!"

1. Mbowe ana jeshi la Polisi lenye wajibu wa kulinda raia na mali?
2. Mbowe ana vyombo vya uchunguzi?
3. Mbowe ana Mahakama zinazoweza kesi za watuhumiwa wa utekaji?
4. Mbowe ana Magereza za kuwafunga waliotiwa hatiani kuteka, kupiga na kuu?
sasa najua umejua nani anakaa kimya baada ya utekaji, utesaji na uuaji, mwambie askae kimya
Team Mbowe naona mko hoi bini taabani
 
Tena mbaya zaidi, siku ya mazishi ya Kibao watu walitaka kumrushia mawe Masauni, Mbowe akawa mkali. Hapa ndipo nilipoona Mbowe kweli ni kibwengo wa ccm.

Siku ile ndiyo ilikuwa mwanzo wa ccm kuanguka. Kwasabb mabadiliko yote makubwa duniani huamshwa na matukio.

Mfano, Arab spring iliamshwa na kijana muuza mbogamboga Mohammed Bouaziz baada ya migambo kuuzuia mkokoteni wake na yeye kujichoma moto.
 
Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.

Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?

Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
Mungu ambariki Tundu Antipas Lissu.
 
Back
Top Bottom