Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada wewe kati ya mbowe na lisu upo upande upi?Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.
Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?
Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
Mimi pia ni MgombeaDada wewe kati ya mbowe na lisu upo upande upi?
Sawa Dada wewe upo upande gani lisu au mbowe?Mimi pia ni Mgombea
Niko ChademaSawa Dada wewe upo upande gani lisu au mbowe?
Dada wewe mtata sana kwani hapo nimesema chademaNiko Chadema
unaeleweka mkuu, changamoto ni pale Mbowe anapojiaminisha kwa umma kuwa yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA ni yeye. Pasipo yeye hakuna CHADEMA.Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.
Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?
Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
Chadema bye byeSasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
View attachment 3186407
Mimi sija sikiliza anacho sema, lakini mwonekano wake kwenye picha ni kama mlevi hivi! Huyo ndo kampeni Manager wa Mwenyekiti?Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
Mimi nimeelewa kuwa wanapinga Mbowe na chama kinacho ng'ang'aniwa na Mbowe kuwa Mwenyekiti; na siyo chama chao cha CHADEMA.Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?
Huyo mwenye ushawishi mbona yeye hakutoka.Ndio maana wanasema amekosa ushawishi
Wanasema mwenyekiti ni teeth"Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vija wenu CHADEMA haijachukua hatua yoyote!"
1. Mbowe ana jeshi la Polisi lenye wajibu wa kulinda raia na mali?
2. Mbowe ana vyombo vya uchunguzi?
3. Mbowe ana Mahakama zinazoweza kesi za watuhumiwa wa utekaji?
4. Mbowe ana Magereza za kuwafunga waliotiwa hatiani kuteka, kupiga na kuu?
sasa najua umejua nani anakaa kimya baada ya utekaji, utesaji na uuaji, mwambie askae kimya
Na Nini?Tumechoka
Wachangie Nini?wakuu mje mchangie