hahahahaTumechoka
Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
View attachment 3186407
Vijana wa chadema ndio polisi?Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
View attachment 3186407
Jibu hoja za mwandishiNi vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.
Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?
Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
View attachment 3186407
"Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vija wenu CHADEMA haijachukua hatua yoyote!"Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
View attachment 3186407
Thread ya kijinga uchangie niniwakuu mje mchangie
Hawajui hata wanachokipigania, ile ni murder case jamhuri ndiyo mwenye kesi inatakiwa ilete mrejesho kwa wananchi.Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.
Hivi hamumtaki Mbowe au hamuitaki Chadema? Ikiwa kama mnakipinga hata Chama chenu sasa mnataka nini?
Tulishasema humu kwamba Shambulieni Mbowe Mtakavyo lakini Msishambulie Chadema, hamtaeleweka mnataka nini
Chadema Haina serikali!Sasa nimeelewa kwanini Mbowe anaendelea kugombea hata baada ya watu wote kumkataa kumbe shida ni aina hii ya washauri,
Huyu Dani Naftali nikimtazama naona kabisa hana akili za kutulia hata kwa Jinsi anavyomtetea boss wake ni wazi hajui anatetea Nini.
View attachment 3186407
Team Mbowe naona mko hoi bini taabani"Dani wewe kampeni meneja wa Mbowe tuambie kwanini baada ya mauji ya Ali Kibao na kupotea kwa vija wenu CHADEMA haijachukua hatua yoyote!"
1. Mbowe ana jeshi la Polisi lenye wajibu wa kulinda raia na mali?
2. Mbowe ana vyombo vya uchunguzi?
3. Mbowe ana Mahakama zinazoweza kesi za watuhumiwa wa utekaji?
4. Mbowe ana Magereza za kuwafunga waliotiwa hatiani kuteka, kupiga na kuu?
sasa najua umejua nani anakaa kimya baada ya utekaji, utesaji na uuaji, mwambie askae kimya
Tanganyika wajing... ni wengi mno!Kwenye yale maandamano ya kulaani utekaji alitoka Mbowe na Bint yake wewe hukutia hata pua yako.
Ndio maana wanasema amekosa ushawishiKwenye yale maandamano ya kulaani utekaji alitoka Mbowe na Bint yake wewe hukutia hata pua yako.
Mungu ambariki Tundu Antipas Lissu.Ni vizuri kufanya kampeni zenu kwa Ustaarabu , Una uhakika kwamba baada ya hayo yaliyotokea Chadema haikuchukua hatua.