Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Huyu mtoto,Joni mashaka inaonekana kainunua blogu ya naniii, kwa sababu analeta articles za kila aina na wala naniii hamzuii. sisi watoto wa wakulima kila tukitoa koment au articles, zote zinatupwa kapuni. je kulikoni? hapa chini, huyo fisadi mtoto kabadilisha jina na kujiita mavitu vingine hakuna wa kumzuia. Bonyeza hapo chini uione barua yake kwa mheshimiwa Rais JK
MICHUZI
Hisia yangu ni kwamba huyu mtoto anafanyiwa kampeni na wana CCM, lakini mie nawathibitishia kwamba watu kama mashaka wakipewa nchi yetu 2015 mimi nahama kuelekea Zimbabwe. Nadhani zimbwabwe kutakuwa pazuri kuliko nchi inayoongozwa na Joni Mashaka, Heri hata na January Makamba. Tanzania kuna wasomi sana, kwa kini tumsujudu muuza karanga kwenye stendi ya basi new-york? heti ndiye rais wetu? save it for foolis

Last edited by a moderator: