John mashaka aiteka globu ya naniii

John mashaka aiteka globu ya naniii

Status
Not open for further replies.

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
3,444
Reaction score
265
Huyu mtoto,Joni mashaka inaonekana kainunua blogu ya naniii, kwa sababu analeta articles za kila aina na wala naniii hamzuii. sisi watoto wa wakulima kila tukitoa koment au articles, zote zinatupwa kapuni. je kulikoni? hapa chini, huyo fisadi mtoto kabadilisha jina na kujiita mavitu vingine hakuna wa kumzuia. Bonyeza hapo chini uione barua yake kwa mheshimiwa Rais JK

MICHUZI

Hisia yangu ni kwamba huyu mtoto anafanyiwa kampeni na wana CCM, lakini mie nawathibitishia kwamba watu kama mashaka wakipewa nchi yetu 2015 mimi nahama kuelekea Zimbabwe. Nadhani zimbwabwe kutakuwa pazuri kuliko nchi inayoongozwa na Joni Mashaka, Heri hata na January Makamba. Tanzania kuna wasomi sana, kwa kini tumsujudu muuza karanga kwenye stendi ya basi new-york? heti ndiye rais wetu? save it for foolis
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe ni upupu gani huu unatuletea hapa jamvini? aarrrggh
 
Huyu mtoto,Joni mashaka inaonekana kainunua blogu ya naniii, kwa sababu analeta articles za kila aina na wala naniii hamzuii. sisi watoto wa wakulima kila tukitoa koment au articles, zote zinatupwa kapuni. je kulikoni? hapa chini, huyo fisadi mtoto kabadilisha jina na kujiita mavitu vingine hakuna wa kumzuia. Bonyeza hapo chini uione barua yake kwa mheshimiwa Rais JK

MICHUZI

Hisia yangu ni kwamba huyu mtoto anafanyiwa kampeni na wana CCM, lakini mie nawathibitishia kwamba watu kama mashaka wakipewa nchi yetu 2015 mimi nahama kuelekea Zimbabwe. Nadhani zimbwabwe kutakuwa pazuri kuliko nchi inayoongozwa na Joni Mashaka, Heri hata na January Makamba. Tanzania kuna wasomi sana, kwa kini tumsujudu muuza karanga kwenye stendi ya basi new-york? heti ndiye rais wetu? save it for foolis

yuko na mwenzake bingwa wa mazingira anajitia mchumi anaitwa Shayo.
 
nimesoma barua yake na haina uhusiano na huyu kijana kutaka urais.
 
Kweli jina lako limekumaanisha yote. Sioni ni nini hoja yako hapa.
 
Page not found

Sorry, the page you were looking for in the blog MICHUZI does not exist.
 
wala siyo vizuri kujadili kwa ku-critize blogs za watu tena kwa jambo lisilo na maana. mods ikiwezekana muwe mnazitupilia mbali thread zisizo na tija, moja wapo ni hii.
 
Jamani mnampasua moyo wake mh membe mkimtaja john mashaka...........
 
chamtu mavi, ukikiona kitemee mate. pilipili uisiyoila yakuwashia nini, wewe wakikataa,wenzako wakimezea mate.

Tatizo la nchi ya wabeuzi, kila kitu chema afanyacho mtu kwa wema, mwafikiria anataka ubunge.
umekosea kushitaki swala hilo hapa.wala siyo vizuri kujadili kwa ku-critize blogs za watu tena kwa jambo lisilo na maana. "mods ikiwezekana muwe mnazitupilia mbali thread zisizo na tija, moja wapo ni hii"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom