Kweli nimeamini JF kumejaa ma snobs
no wonder wanakimbilia kwa michuzi duh!
yaani mnavyoua mpaka noma
ahhhh shekheee..
hebu nitake radhi mwinyi wanguuu
niradhi nimsome MUYAKA kuliko hawa ma mediocre ambao wanaonekana kama vile wanajifunza kuandika essays zao za first year ..kwenye gazeti ya shule
ntake radhi mkuu
duh!
Anatafuta umaarufu kwa migongo ya watu huyu dogo watu tunaheshima zetu Taifa linatutegemea.
MKWE ZAA NAE HUYO!lazima aeleze kila kitu!
Anatafuta umaarufu kwa migongo ya watu huyu dogo watu tunaheshima zetu Taifa linatutegemea.
Dogo umeingia juzi tu hapa JF unaweza ukatuambia majungu tunayo piga? Lasivyo hii ishu naipeleka mwa mods tueleze majungu gani tunapiga?
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?
Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?
nawasilisha
majungu na fitina?
vitu hivi haviwezi kukokesakana katika jamii ya watu wengi kama hii, siunajua hata katika msafara wa nzige na pazi huwa wapo?
kwahiyo katika wingi wa watu waliomo humu na uhuru uliopo humu huwezi kukosa watu wa aina mbalimbali,hata hivyo majungu au fitina inategemea na tafsiri ya mtu kuhusu mchango wa mwingine
waletwe nini wakati wao wenyewe waoga wa kuja JF
hawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?
Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?
nawasilisha
Join Date : 5th August 2009
Posts : 232
Rep Power : 517
Likes Received0
Likes Given
0
Kule . Nonsencical arguments tupu!
Mbona John Mashaka yupo hapa JF na ni mchangiaji mzuri tuu ila hapendi kujulikana maana anajiona yeye ni bonge moja la celebrity.
John alishamwambia one of my friend with hia kenyan accent eti "unajua mimi watu wananijua sana so kama ukiniona inabidi ujitambulishe wewe ni nani na tumeonana wapi"?.
Hata mimi nimekuwa na sawli hilo kitambohawa jamaa kwa nini huwa hawaleti hii mijadla yao huku JF au kuna kitu mnawaogopesha?
Kwa nini wako comfortable sana kule kwa Michuzi?
nawasilisha
Kwa Michuzi kunawapa mashabiki wanaowataka (walengwa) kuliko hapa.
Hapa kuna vichwa ambavyo vingewajibu kwa hoja hivyo wanaona ni bora wapate mashabiki kule.
Nawakilisha