John Mashaka na Hildebrand Shayo

John Mashaka na Hildebrand Shayo

Kweli nimeamini JF kumejaa ma snobs

no wonder wanakimbilia kwa michuzi duh!

yaani mnavyoua mpaka noma

ahhhh shekheee..

hebu nitake radhi mwinyi wanguuu

niradhi nimsome MUYAKA kuliko hawa ma mediocre ambao wanaonekana kama vile wanajifunza kuandika essays zao za first year ..kwenye gazeti ya shule

ntake radhi mkuu

duh!

kweli nyani haoni ***** yake
 
Anatafuta umaarufu kwa migongo ya watu huyu dogo watu tunaheshima zetu Taifa linatutegemea.

heheheheheh!
-binti pale nyumbani anakutegemea pia
-wewe pia ni mwekezaji pale ''sebuleni''wadau kibao wanakutegemea

huyu mtoto bana!wa wapi huyu?atakuwa anabeba nanihii nini?huko ng'ambo?
 
majungu na fitina?
vitu hivi haviwezi kukokesakana katika jamii ya watu wengi kama hii, siunajua hata katika msafara wa nzige na pazi huwa wapo?
kwahiyo katika wingi wa watu waliomo humu na uhuru uliopo humu huwezi kukosa watu wa aina mbalimbali,hata hivyo majungu au fitina inategemea na tafsiri ya mtu kuhusu mchango wa mwingine
 
majungu na fitina?
vitu hivi haviwezi kukokesakana katika jamii ya watu wengi kama hii, siunajua hata katika msafara wa nzige na pazi huwa wapo?
kwahiyo katika wingi wa watu waliomo humu na uhuru uliopo humu huwezi kukosa watu wa aina mbalimbali,hata hivyo majungu au fitina inategemea na tafsiri ya mtu kuhusu mchango wa mwingine

jf kiboko. majungu mtindo mmoja
 
Join Date : 5th August 2009
Posts : 232
Rep Power : 517
Likes Received0
Likes Given
0
Kule . Nonsencical arguments tupu!

Watu wabaya sana, yaani tangu ujiunge miaka mitatu sasa hujapewa LIKE hata moja??

Ila nawe mchoyo duh, ina maana miaka mitatu huja-LIKE hata post ya mtu mmoja humu?

Oh No! Admin watakuwa na agenda ya siri lazima wanakubania kama sio kukuchakachua LIKEs zako
 
Mbona John Mashaka yupo hapa JF na ni mchangiaji mzuri tuu ila hapendi kujulikana maana anajiona yeye ni bonge moja la celebrity.

John alishamwambia one of my friend with hia kenyan accent eti "unajua mimi watu wananijua sana so kama ukiniona inabidi ujitambulishe wewe ni nani na tumeonana wapi"?.

Jamani ndio akina nani hawa? naomba japo wasifu wao kiduchu niwajue walau
 
Kwa Michuzi kunawapa mashabiki wanaowataka (walengwa) kuliko hapa.

Hapa kuna vichwa ambavyo vingewajibu kwa hoja hivyo wanaona ni bora wapate mashabiki kule.

Nawakilisha

Kwa hiyo Michuzi ngoma draw na JF?
 
Back
Top Bottom