Fundi Mchundo is a beacon of reason.
I don't think there is any question, mwanangu. Jamaa is one of the most clear-thinking people I have ever come across in my life. The cerebral engine of Jamii Forums movement, he has to be. Kila nikitaka kutofautiana na huyo mtu sehemu huwa najiuliza mara nne kwanza kwa sababu najua yeye anakuwa amefikiria mara tatu kabla hajaandika kitu. E bwana, achana na ile namba kichaa. Niambie nisichokijua.
Queens who?
sio kichaa, hiyo namba ni kichwa kilichotulia.
no comment....... hakuna kitu kibaya kama ulimbukeni. Chekecha chekecha maana ya some.
Ndugu yangu hatuendi hivyo.ULIMBUKENI sio neno sahihi.Kwani tukitofautiana kwenye hoja lazima iwe kama ugomvi?We can agree to disagree without using some offensive terms.
Mama lugha za uswai zinakupiiita. Kichaa ni adjective!! Mtu asie maindi maindi, poa, hana noma. In any event, hapa kichaa niliyekuwa namu address ni mwanangu Pundit, nikimjibu kuhusu namba (mtu) nyingine, JF's own FM, mmishenari aliyekimbia umande.
@ Wote..
Hii thread napendekeza itupwe kapuni, maana naona points zimeisha wajameni, na hakuna la faida lililopatikana kuanzia hali ya hewa ilipochafuliwa kwa kusudi kabisa na 'wajuaji'.
sawa, nimekupata kichaa wangu.
I don't think there is any question, mwanangu. Jamaa is one of the most clear-thinking people I have ever come across in my life. The cerebral engine of Jamii Forums movement, he has to be. Kila nikitaka kutofautiana na huyo mtu sehemu huwa najiuliza mara nne kwanza kwa sababu najua yeye anakuwa amefikiria mara tatu kabla hajaandika kitu. E bwana, achana na ile namba kichaa. Niambie nisichokijua.
sawa, nimekupata kichaa wangu.
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kichaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person .I don't think there is any question, mwanangu. Jamaa is one of the most clear-thinking people I have ever come across in my life. The cerebral engine of Jamii Forums movement, he has to be. Kila nikitaka kutofautiana na huyo mtu sehemu huwa najiuliza mara nne kwanza kwa sababu najua yeye anakuwa amefikiria mara tatu kabla hajaandika kitu. E bwana, achana na ile namba kichaa. Niambie nisichokijua.
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kachaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person .
Sio jina zuri kwa mtu asiekuwa na matatizo ya akili kama alivyopewa Fundi Mchundo.
Kachaa ndio sahihi kutumika hapo.Kachaa ni msela wangu,mshikaji,msenegali,mtindiga,mani aino,arifu .
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kachaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person…….
Sio jina zuri kwa mtu asiekuwa na matatizo ya akili kama alivyopewa Fundi Mchundo.
Kachaa ndio sahihi kutumika hapo.Kachaa ni msela wangu,mshikaji,msenegali,mtindiga,mani aino,arifu…….
Ok, hapo umetoa maana ya kachaa, asante kwani sikuwa najua maana ya kachaa
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kichaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person .
Sio jina zuri kwa mtu asiekuwa na matatizo ya akili kama alivyopewa Fundi Mchundo.
Kachaa ndio sahihi kutumika hapo.Kachaa ni msela wangu,mshikaji,msenegali,mtindiga,mani aino,arifu .
Mwalimu Nyerere, tunayemuenzi sana, aliwahi kusema "Kuiongoza nchi hii anahitajika mtu kichaa"
Hapa kuna sanaa ya lugha inatumika.Ukichaa na ugenius vinatenganishwa na kinywele kimoja chenye urefu wa Planck scale tu kama nyuzi 360 na 0 zinavyotenganishwa katika duara.
Kuhani ni wazi anaweka lugha fulani ya mtaani, sasa watu wakiweka lugha ya mtaani tatizo, wakiweka ngeli tatizo, ilimradi "ukichimama nchale, ukikimbia nchale" tu.