John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

Status
Not open for further replies.
Fundi Mchundo is a beacon of reason.

I don't think there is any question, mwanangu. Jamaa is one of the most clear-thinking people I have ever come across in my life. The cerebral engine of Jamii Forums movement, he has to be. Kila nikitaka kutofautiana na huyo mtu sehemu huwa najiuliza mara nne kwanza kwa sababu najua yeye anakuwa amefikiria mara tatu kabla hajaandika kitu. E bwana, achana na ile namba kichaa. Niambie nisichokijua.
 
sio kichaa, hiyo namba ni kichwa kilichotulia.
 
Mama lugha za uswai zinakupiiita. Kichaa ni adjective!! Mtu asie maindi maindi, poa, hana noma. In any event, hapa kichaa niliyekuwa namu address ni mwanangu Pundit, nikimjibu kuhusu namba (mtu) nyingine, JF's own FM, mmishenari aliyekimbia umande.
 
no comment....... hakuna kitu kibaya kama ulimbukeni. Chekecha chekecha maana ya some.

Ndugu yangu hatuendi hivyo.ULIMBUKENI sio neno sahihi.Kwani tukitofautiana kwenye hoja lazima iwe kama ugomvi?We can agree to disagree without using some offensive terms.
 
I am sorry, nilikuwa namaanisha kasumba ya kuona kitu kama kimefanyika UK ni kizuri. Yaani kama UK wataacha kutumia vyoo its okay hata sisi kuacha kutumia vyoo kwa kisingizio mbona hata UK hawatumii vyoo. Hamna ugomvi mwanangu, okay?
 
Mama lugha za uswai zinakupiiita. Kichaa ni adjective!! Mtu asie maindi maindi, poa, hana noma. In any event, hapa kichaa niliyekuwa namu address ni mwanangu Pundit, nikimjibu kuhusu namba (mtu) nyingine, JF's own FM, mmishenari aliyekimbia umande.

sawa, nimekupata kichaa wangu.
 
@ Wote..

Hii thread napendekeza itupwe kapuni, maana naona points zimeisha wajameni, na hakuna la faida lililopatikana kuanzia hali ya hewa ilipochafuliwa kwa kusudi kabisa na 'wajuaji'.
 
Mtindio,

Evolution of threads ni kitu cha kawaida kabisa, kama thread imeishiwa pointi ndiyo fursa nzuri ya kuirudisha katika mstari kwa kuweka pointi zako.

An overly police administration will defeat our banner mantra.
 
I don't think there is any question, mwanangu. Jamaa is one of the most clear-thinking people I have ever come across in my life. The cerebral engine of Jamii Forums movement, he has to be. Kila nikitaka kutofautiana na huyo mtu sehemu huwa najiuliza mara nne kwanza kwa sababu najua yeye anakuwa amefikiria mara tatu kabla hajaandika kitu. E bwana, achana na ile namba kichaa. Niambie nisichokijua.

Kheee!!! ona hii mibaba inavyolambana makalio!!! Shame on both of y'all....
 
sawa, nimekupata kichaa wangu.

I don't think there is any question, mwanangu. Jamaa is one of the most clear-thinking people I have ever come across in my life. The cerebral engine of Jamii Forums movement, he has to be. Kila nikitaka kutofautiana na huyo mtu sehemu huwa najiuliza mara nne kwanza kwa sababu najua yeye anakuwa amefikiria mara tatu kabla hajaandika kitu. E bwana, achana na ile namba kichaa. Niambie nisichokijua.
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kichaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person…….

Sio jina zuri kwa mtu asiekuwa na matatizo ya akili kama alivyopewa Fundi Mchundo.
Kachaa ndio sahihi kutumika hapo.Kachaa ni msela wangu,mshikaji,msenegali,mtindiga,mani aino,arifu…….
 
Last edited:
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kachaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person…….

Mchizi wangu je?
 
Ok, hapo umetoa maana ya kachaa, asante kwa sikuwa najua maana ya kachaa pia sijawahi sikia hilo neno.
 
Kumuita mtu kichaa sio vema.Kichaa ni mtu alivurugikiwa na akili,mwendawazimu,hamnazo,mwehu au kwa lugha ya Kipundit ni mental disorder, be insane, mad person…….

Sio jina zuri kwa mtu asiekuwa na matatizo ya akili kama alivyopewa Fundi Mchundo.
Kachaa ndio sahihi kutumika hapo.Kachaa ni msela wangu,mshikaji,msenegali,mtindiga,mani aino,arifu…….

Mwalimu Nyerere, tunayemuenzi sana, aliwahi kusema "Kuiongoza nchi hii anahitajika mtu kichaa"

Hapa kuna sanaa ya lugha inatumika.Ukichaa na ugenius vinatenganishwa na kinywele kimoja chenye urefu wa Planck scale tu kama nyuzi 360 na 0 zinavyotenganishwa katika duara.

Kuhani ni wazi anaweka lugha fulani ya mtaani, sasa watu wakiweka lugha ya mtaani tatizo, wakiweka ngeli tatizo, ilimradi "ukichimama nchale, ukikimbia nchale" tu.
 
Kwanza, mimi simuenzi Nyerere. Kwa hiyo jiongelee mwenye. Pili, kwa vile Nyerere "alisema" haina maana ni sawa hata kama sio sawa. Get it Pundit?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom