figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Bro angalia reality on time, mbona uko desperately na RAO? Acha hizo. RAO is the Peoples' president so try to show respect to himKazi gani wakati analala kwenye nyumba ya mkewe? Nashuku hata nyumbani kwake hawamkubali kama rais baada ya yeye kuapishwa huku first lady mwingine tofauti akiwa kando yake. Yaani Miguna Miguna. Kazi ni kwa rais Uhuruto, sarakasi, vitimbi na mizengwe zimeachiwa mzee Raila. Acha tuone kama atadumu zaidi ya Duracell!
Raisi wa 1 duniani kuapishwa afu akarudi kulala kwake badala ya ikulu.Bro angalia reality on time, mbona uko desperately na RAO? Acha hizo. RAO is the Peoples' president so try to show respect to him
Hahaha ndo unatania ama? People's Republic ni ile ya N. Korea tu! 😀 President of the Republic of Kenya is non other than His Excellency, Uhuru Muigai Kenyatta, A.K.A Uhunye, A.K.A Kamwana. Basi. Comprende?Bro angalia reality on time, mbona uko desperately na RAO? Acha hizo. RAO is the Peoples' president so try to show respect to him
Huwa mnagawana salary pamoja or unapewa tenders na huyo jamaa mlevi...Hahaha ndo unatania ama? People's Republic ni ile ya N. Korea tu! 😀 President of the Republic of Kenya is non other than His Excellency, Uhuru Muigai Kenyatta, A.K.A Uhunye, A.K.A Kamwana. Basi. Comprende?
Mwenyekiti wa chama cha ODM nchini Kenya, John Mbadi amesema Raila Odinga anaandaa baraza la mawaziri ambalo ataliongoza yeye mwenyewe.
"Uhuru Kenyatta serikali yako iliisha jumanne iliyopita. Sasa rais wa Kenya ni Raila Odinga. Tuheshimiane ... muachie Raila afanye kazi"-
You never know jombaa, ila RAO alivo life member wa [HASHTAG]#TeamRohoMbaya[/HASHTAG], usitegemee ukupe hata tot ya kiroba ambacho huwa anakificha kwenye soksi ndo asiwagawie kina Wetangula na MaDvD! 😀Huwa mnagawana salary pamoja or unapewa tenders na huyo jamaa mlevi...