SI KWELI John Mnyika ajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Dah! Upinzani wa Tanzania bado una safari kadhaa mbele licha ya kuwa na uungwaji mkono mkubwa toka KWa wananchi walio wengi. Namtakia kijana mwenzangu Mnyika maisha mapya nje ya nafasi hiyo.
 
Mwaka huu na mwaka ujao tutaona na kusikia mengi ya uchaguzi TZ
Story zingine feki na zingine za kweli
Stay tuned
 
It was just a matter of time. Mwisho wa siku CDM itabaki kuwa ya Mbowe na ndugu zake.
 
Katika mwendelezo wa vyama vya siasa nchini kuzidi kuvurugana na kuendekeza wizi,tamaa na rushwa. John Mnyika kaamua kubwaga Manyanga.

Je ataelekea CCM kupiga pakubwa?au ataamua kubaki mtu safi? Kuna kipindi unaacha uliwe padogo uje kula pakubwa.

But ninavyomfahamu Mnyika ni mtu aliye na misimamo mikali sana.lakini wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya chai.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…